Mpenzi wangu hajawahi kuwa na 'love mood'

Mpenzi wangu hajawahi kuwa na 'love mood'

rama halavi

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2015
Posts
269
Reaction score
236
Habarini za wikiend?

Natumaini wana JF wote mko poa na wikiend inaenda vizuri kwa upande wenu.

Sina muda mrefu sana hapa JF japo nimekuwa nikiingia kila siku hapa ili kujifunza mambo na vituko vya dunia na mara kwa mara nimekuwa nikichangia baadhi ya thread. Hili ni moja ya jukwaa ninalolipenda sana maana wakati mwingine hunipa faraja na kuona kama nina matarizo basi ya kwangu ni madogo sana kupita ya wengine.

Leo naomba niombe mchango wa mawazo na ushauri toka kwa wadau na wenye uzoefu wa mambo maana kidogo nipo njia panda. Ili mtu akubaliane na maamuzi ni lazima akili na moyo vyote kwa pamoja vikubaliane juu ya jambo hilo.

ISHU YENYEWE IKO HIVI:

Mwezi wa 8 mwaka jana nilimfahamu mwanamke mmoja (umri miaka 24 na ana mtoto mmoja) ambaye baadae tulianzisha mahusiano ya kimapenzi. Tulianza kufahamiana taratibu na tukajenga mazoea na mimi nikatumia kipindi hicho kutaka kumfahamu zaidi kimazingira na kimaisha, coz nilivutiwa nae na nilitaka kuanzisha nae mahusiano baada ya kujiridhisha na zoezi langu la upelelezi.

Huwa sina tabia ya kuanzisha mahusiano ya muda mfupi (hit and run) na pia huwa sina tabia ya kuwa na wanawake wengi kwa wakati mmoja. Kiumri I'am 31 na nimekuwa nikitafuta mwanamke anayehitaji kutulia na kuanzisha familia ili tumake plan for our future and get married.

Bahati mbaya huko nyuma most of women niliokuwa nadate nao wanakuwa ni after money au they don't take seriously my proposal lakini baadae tukiachana huanza kurudi na kuomba tuanze upya. Huwa sirudi nyuma nikishatoka coz huwa naamini everything happens for a reason.

Sasa kipindi ambacho nafanya upelelezi wangu huyu mwanamke akaanza udadisi wa kihisia na mimi nikawa namkwepa kumjibu ili mpaka upelelzi wangu ukamilike (nilijiwekea 3 weeks za upelelezi) ila mwanamke akawa anakua resi na mapezi kibao na swaga za hapa na pale na ikafika siku moja akanipigia simu na kuniuliza kama nampenda au la, sikumjibu nikamwambia tutaongea siku nyingine. kesho yake akaja ofisini kwangu na kuniuliza tena swali lile lile.

Mapenzi kitu cha ajabu sana nilijikuta namweleza kila kitu and about how i fall in love with her na hapo ukawa mwanzo wa mahusiano yetu.Sasa the problem is that tokea nimeanza nae mahusiano huyu mwanamke sijawahi kumuona kwenye love mood hata siku moja, yaani hata tukiwa tunasex huwa hana sex mood wala horny yaani is like anafanya mapenzi kuniridhisha mimi tu na kitu kingine hapendi romance wala kuchezeana sana.

Yaani yeye anataka umchezee kidogo tu halafu uingie mzigoni na pia hata kujituma kitandani na kuplay her part hataki oral sex wala kusex katika staili ya woman on top hataki. Nilikaa nae na kumuuliza tatizo nini akadai hapendi kufanya mapenzi na kwake oral sex na romance ni uchafu, yaani huyu mwanamke unaweza kufanya nae mapenzi na asikuguse popote na wala asitingishike kwa lolote.

Nimejitahidi kumsaidia kimawazo na kumwambia position na wajibu wake kama mpenzi wangu lakini bado yuko vile vile, nilikuwa na mpango kama nitamaliza nae mwaka huu mwakani nimuoe lakini nishaanza kuwa na mashaka maana naona kila dalili ya kuanza kuwa na michepuko hapo baadae. Maana lengo langu la kutaka kuoa ni kuwa na mwanake atakayeniridhisha na mimi nimridhishe. Haya ya kupikiwa, kufuliwa na majukumu mengine ni added responsibility.

a) Je anafaa kuwa mke?
b) Je ni kweli mwanamke anaweza kuchukia mapenzi halafu akaamua kuwa na bwana au mpenzi?


Ushauri na mawazo tu ndio yanahitajika, matusi kejeli na dharau sizihitaji.
 
mkuu uhuwa unamuonaga mwili wake wote au anaufichaficha
mana ktk pilikapilika za ujana nishakutanaga na demu dizaini yako nikachungunguza ttzo nini
loh ! kumbe yule demu ana BONGE LA KITOVU km CHUNGWA ndo mana staili ya yeye kuwa top hataki na kifo cha mende anaficha na gagulo mikono tumboni ndo hta ukimshikashika kumuandaa hataki umuandae kwa muda mrefu

cha msingi kabla hujamuacha chunguza hilo swala linasababishwa na nini na ukigundua jaribu kukubaliana na hali halisi mana huwezi kupata mwanamke aliyekamilika kila idala kila mmoja ana mapungufu yake
Unaweza muacha huyo harafu ukamjutia baadaye
yaani hapo ushakanyaga matope baada kuruka maji
 
Watu wa hivyo mbona ni wengi sana mkuu,,,yani unakuta mwanamke mzuri, msafi, anajipodoa vizuri yani kila sector yuko poawa ila linapofika swala la kugegedana hawezi lolote yeye ni kulala tu kama gogo na kutoa miloo ya ajabu ajabu yani hawa wanawake tuwavumilie tu
 
Kuna app ya "love mood" siku hizi. It's a digital world.

On a serious note, tatizo pia linaweza kuwa kwako. Pengine ham-match.
 
Hayo mambo mbona yanabadilishika mkuu, huenda tatizo ni malezi au mpenzi wake wa mwanzo...unaweza kumbadilisha polepole kwa kufundishana na kubadilisha mazingira

Lakino pia tatizo linaweza kuwa kwako labda sio msafi na kasoro nyingine..
 
Ramzy Classic

Daah inaonekana una nia njema na huyo bibie lakini amekuangusha aisee.

Kwa kweli swala la mgegedo ni la.kuzingatia sana, mapenzi mbwembwe bhana inatia raha moyoni.

Ulipoanza kusema hama love mood nikajiuliza mood gani hiyo?? Kumbe ulimanisha kitu muhimu sana.

Hata hivyo kumbuka huyo alishazaa na huenda anawoga wa kukufanyia manjonjo usije kumhisi malaya na badae atabadirika na utainjoy sana mgegedo.

Mpe mda tena.
 
Ramzy Classic

Daah inaonekana una nia njema na huyo bibie lakini amekuangusha aisee.

Kwa kweli swala la mgegedo ni la.kuzingatia sana, mapenzi mbwembwe bhana inatia raha moyoni.

Ulipoanza kusema hama love mood nikajiuliza mood gani hiyo?? Kumbe ulimanisha kitu muhimu sana.

Hata hivyo kumbuka huyo alishazaa na huenda anawoga wa kukufanyia manjonjo usije kumhisi malaya na badae atabadirika na utainjoy sana mgegedo.

Mpe mda tena.
Mhh ngoja tuone itakavyokuwa ila nimekuwa mkweli sana hata kwa yeye mwenyewe na nimejitahidi kuwa muwazi sana hasa kwenye swala la muhusiano na mapenzi yenyewe kwa ujumla.
 
Mkuu wako wengine waliokeketwa wengi wao nao huwa hawasisimki wakati wa mgegedo.Cha muhimu kama ni mama anayejua majukumu yake ya familia vuta weka ndani mkuu
 
achana nae tafuta mwingine....yaani mlundikano wa wanawake namna hii mjini bado unapata tabu na mmoja wapo
 
Sidhani kama ni swala la kukeketwa hapo nawajua wanawake waliokeketwa na wanapiga mgegedo wa maana, na mimi ni mmoja wao ninayeishi na mwanamke aliyekeketwa mwanzoni alikuwa anaona aibu lkn nikamweka sawa anakula mgegedo huyoooo!!! Weee kama katiwa bangi vile
 
Mpe tu muda nahisi atakuwa bado na maumivu ya uhusuano uliopita kidonda chake bado hakijapona.
 
Zd kuMuweke karbu...toka mwez wa 8 mwaka jana had saiz ni mda mfup sana kwa mtu kujiachia sana ukizngatia kazalishwa

Mueleze nn una penda zaid..taratbu ata kuelewe na zd kumuamnisha kua uta muoa.maana anaonekana hajiamn..

Kuzaa haimaanish anajua mapnz yawezekana siku alo bikiriwa ndo siku alopata mimba.atajua nn huyo??

Pole baba
 
Zd kuMuweke karbu...toka mwez wa 8 mwaka jana had saiz ni mda mfup sana kwa mtu kujiachia sana ukizngatia kazalishwa

Mueleze nn una penda zaid..taratbu ata kuelewe na zd kumuamnisha kua uta muoa.maana anaonekana hajiamn..

Kuzaa haimaanish anajua mapnz yawezekana siku alo bikiriwa ndo siku alopata mimba.atajua nn huyo??

Pole baba
Hilo nalo lipo maana one day tuligombana kwa jambo dogo tu lakini akaanza kusema mimi ni wale wale tu namchezea na nntamwacha na ndio maana naogopa kujiachia
 
Kwanza Zinaa haifai
2 ) Kama mengine yapo sawa Panga nae ndoa maana utakuja kujuta pale utakapo pata Love mood ya kichina kujifanya Vilio na Misisimko ya kughushi.
Miaka ile ya Maghoti na Mbowe Club niliwahi kuopoa Gubeli moja ni hatareee kwa Maigizo ya vilio kumbe hamna kitu. Yeye kumbe akili yake anakusoma wewe ukionekana kupagawa na vilio anashusha. Yaan Customer care lakin hamaanishi
 
jarbu kutoka nae,badlsha mazingira,tembea nae mkpga stor mbalmbal za mapenz mfano muende bch na umuonyeshe kama unamjal sana itarudsha hisia zake za mapenz
 
Back
Top Bottom