rama halavi
JF-Expert Member
- Nov 20, 2015
- 269
- 236
Habarini za wikiend?
Natumaini wana JF wote mko poa na wikiend inaenda vizuri kwa upande wenu.
Sina muda mrefu sana hapa JF japo nimekuwa nikiingia kila siku hapa ili kujifunza mambo na vituko vya dunia na mara kwa mara nimekuwa nikichangia baadhi ya thread. Hili ni moja ya jukwaa ninalolipenda sana maana wakati mwingine hunipa faraja na kuona kama nina matarizo basi ya kwangu ni madogo sana kupita ya wengine.
Leo naomba niombe mchango wa mawazo na ushauri toka kwa wadau na wenye uzoefu wa mambo maana kidogo nipo njia panda. Ili mtu akubaliane na maamuzi ni lazima akili na moyo vyote kwa pamoja vikubaliane juu ya jambo hilo.
ISHU YENYEWE IKO HIVI:
Mwezi wa 8 mwaka jana nilimfahamu mwanamke mmoja (umri miaka 24 na ana mtoto mmoja) ambaye baadae tulianzisha mahusiano ya kimapenzi. Tulianza kufahamiana taratibu na tukajenga mazoea na mimi nikatumia kipindi hicho kutaka kumfahamu zaidi kimazingira na kimaisha, coz nilivutiwa nae na nilitaka kuanzisha nae mahusiano baada ya kujiridhisha na zoezi langu la upelelezi.
Huwa sina tabia ya kuanzisha mahusiano ya muda mfupi (hit and run) na pia huwa sina tabia ya kuwa na wanawake wengi kwa wakati mmoja. Kiumri I'am 31 na nimekuwa nikitafuta mwanamke anayehitaji kutulia na kuanzisha familia ili tumake plan for our future and get married.
Bahati mbaya huko nyuma most of women niliokuwa nadate nao wanakuwa ni after money au they don't take seriously my proposal lakini baadae tukiachana huanza kurudi na kuomba tuanze upya. Huwa sirudi nyuma nikishatoka coz huwa naamini everything happens for a reason.
Sasa kipindi ambacho nafanya upelelezi wangu huyu mwanamke akaanza udadisi wa kihisia na mimi nikawa namkwepa kumjibu ili mpaka upelelzi wangu ukamilike (nilijiwekea 3 weeks za upelelezi) ila mwanamke akawa anakua resi na mapezi kibao na swaga za hapa na pale na ikafika siku moja akanipigia simu na kuniuliza kama nampenda au la, sikumjibu nikamwambia tutaongea siku nyingine. kesho yake akaja ofisini kwangu na kuniuliza tena swali lile lile.
Mapenzi kitu cha ajabu sana nilijikuta namweleza kila kitu and about how i fall in love with her na hapo ukawa mwanzo wa mahusiano yetu.Sasa the problem is that tokea nimeanza nae mahusiano huyu mwanamke sijawahi kumuona kwenye love mood hata siku moja, yaani hata tukiwa tunasex huwa hana sex mood wala horny yaani is like anafanya mapenzi kuniridhisha mimi tu na kitu kingine hapendi romance wala kuchezeana sana.
Yaani yeye anataka umchezee kidogo tu halafu uingie mzigoni na pia hata kujituma kitandani na kuplay her part hataki oral sex wala kusex katika staili ya woman on top hataki. Nilikaa nae na kumuuliza tatizo nini akadai hapendi kufanya mapenzi na kwake oral sex na romance ni uchafu, yaani huyu mwanamke unaweza kufanya nae mapenzi na asikuguse popote na wala asitingishike kwa lolote.
Nimejitahidi kumsaidia kimawazo na kumwambia position na wajibu wake kama mpenzi wangu lakini bado yuko vile vile, nilikuwa na mpango kama nitamaliza nae mwaka huu mwakani nimuoe lakini nishaanza kuwa na mashaka maana naona kila dalili ya kuanza kuwa na michepuko hapo baadae. Maana lengo langu la kutaka kuoa ni kuwa na mwanake atakayeniridhisha na mimi nimridhishe. Haya ya kupikiwa, kufuliwa na majukumu mengine ni added responsibility.
a) Je anafaa kuwa mke?
b) Je ni kweli mwanamke anaweza kuchukia mapenzi halafu akaamua kuwa na bwana au mpenzi?
Ushauri na mawazo tu ndio yanahitajika, matusi kejeli na dharau sizihitaji.