Mpenzi wangu hajawahi kuwa na 'love mood'

Mpenzi wangu hajawahi kuwa na 'love mood'

Hilo nalo lipo maana one day tuligombana kwa jambo dogo tu lakini akaanza kusema mimi ni wale wale tu namchezea na nntamwacha na ndio maana naogopa kujiachia
Yaan ni sawa na mtu alo bakwa..inakuaga ni athari ya kisaikolojia.anaweza kua anakupenda sana lakn kujiamn ni shida.msaidie ajiamn then akuamn na ww pia..kiukwel single mums wote hua hawamuamn mwanaume yoyote yule kwa haraka namna hyo..

Matendo yako na muda vitamfanya kumbadilisha..

Afu nikuulize swali.mmeweza kukubaliana na mtoto wake.yani muweke wazi ni jinsi gan wamchukulia mwanae na hata ndg zako wakizngua bado msimamo wako utakua vipi

Wanawake tuna mambo meng sana ndugu..jitahid kua mvumilivu..ila tafadhari usimuache maana kwa mwanaume atae fuata ndo litakua janga mara mia.moody atakua musoma yy yupo mkoa mpya wa songwe
 
Wako wengi tu wa style hizo. Wana boa balaa. Kama umemweleza na haonyeshi kubadilika achana naye tu atakupotezea muda. Wanawake wengine ni frigid. Yaani hawawezi ku respond to sexual stimulations. Wangekuwa wanaume tungewaita mahanisi lakini kwa kuwa wana kishimo wanaweza kufanya tendo la ndoa ingawa hawahisi chochote.

Kimbia kama ukoma. Atakusababishia u cheat daily tu
 
Kuishi na mtu asiye na hisia za mapenzi ni shidaaa. Hilo ni jipu. Litumbue usepe zako
 
Kama una kifua jarbu kutafuta mtu aliyemzalisha alf umuulize kwenye gegedo before huyo dada alikuwaj!
 
Yaan ni sawa na mtu alo bakwa..inakuaga ni athari ya kisaikolojia.anaweza kua anakupenda sana lakn kujiamn ni shida.msaidie ajiamn then akuamn na ww pia..kiukwel single mums wote hua hawamuamn mwanaume yoyote yule kwa haraka namna hyo..

Matendo yako na muda vitamfanya kumbadilisha..

Afu nikuulize swali.mmeweza kukubaliana na mtoto wake.yani muweke wazi ni jinsi gan wamchukulia mwanae na hata ndg zako wakizngua bado msimamo wako utakua vipi

Wanawake tuna mambo meng sana ndugu..jitahid kua mvumilivu..ila tafadhari usimuache maana kwa mwanaume atae fuata ndo litakua janga mara mia.moody atakua musoma yy yupo mkoa mpya wa songwe
Kwenye swala la mtoto hamna tatizo coz hata mimi nina mtoto mmoja wa kike ambaye nilizaa na mwanamke niliyeachana nae miaka 4 iliyopita. kuhusu ndugu zangu bado hatujafika steji hiyo maana nimeweka ahadi mwanamke ntakayemtambulisha nyumbani ndie ntakayemuoa coz kwetu mtoto wa kiume niko peke yangu na nina dada wa tumbo moja wa2 na madada wa ukoo kibao na ndugu zangu hao wanakawaida sana ya kuniuliza ntaoa lini na kutaka kumfahamu wifi yao. sasa tabu ni kwamba mapenzi ya siku hizi hayana dhamana na unaweza ukamuweka mtu moyoni yeye akakuweka kichwani. ndio maana najipa muda kwanza wa kutafakari haya ninayopitia nikiwa nae na future yetu itakuwaje kama staili yenyewe itakuwa hivi.
 
Mkuu mwanamke mwenye mtoto hafai kuwa mke utagongewa tu na Baba wa mtoto
Kwenye hili kugongewa inategemea na jinsi mlivyoachana kwenye mahusiano yenu, mwanamke ambaye anakuwa na jeraha na maumivu ya mapenzi moyoni ni hatari sana hata kukaa nae karibu hasa kama umemuharibia malengo na mipango yake aliyokuwa anaitamani. Kwa maisha ya sasa kugongewa ni jambo lisilochungwa na mtu mwingine zaidi ya mhusika mwenyewe tu. kama ataamua kujistiri na kujiheshimu basi ni maamuzi yake na kama ataamua kugawankwa wengine basi jua kwamba ndani kuna mapangufu. Kwa maisha ya sasa ukiogopa kugongewa utakuwa huoi na kukimbia majukumu yako kama mwanaume katika kuanzisha familia
 
Sidhani kama ni swala la kukeketwa hapo nawajua wanawake waliokeketwa na wanapiga mgegedo wa maana, na mimi ni mmoja wao ninayeishi na mwanamke aliyekeketwa mwanzoni alikuwa anaona aibu lkn nikamweka sawa anakula mgegedo huyoooo!!! Weee kama katiwa bangi vile
Umenifurahisha kwa kweli kama katiwa bangi loh
 
Hapo ndio baadhi yetu wanawake wengi tunakosea,ile nisehemu ya kufurahi unalalaje kama gogo jamani? mfinye kodogo LOL
nadhani pata mda wa kumueleza nini una enjoy zaidi kwenye mapenzi sababu wengine wameyavamia mapenzi lakini hajui
mda gani wakuacha matatizo yake pembeni aingie kwenye uwanja wa Mapenzi sio kukufurahisha wewe tuu bali na yeye pia afurahi,mie sioni tabu kumwambia mume wangu nini penda anifanyie juu ya kua utakua mtundu lakini kuna time ukiwa kama mwanamke tafuta nji a yakumfanya mumeo au mpenzi wako afunguke nini ana enjoy zaidi,sasa ukilala kama gogo hujulikani unapenda au hupendi au unabakwa,au ndio wale wanaosema kufanya mapenzi au kuchakarika chumbani mume atakuona Malaya? khaaa! mie anione anavyojisikia atajua mwenyewe natete number yangu isije ikachukuliwa na mtu na hata kama akienda kwa mwengine afanye kazi ya ziada kukupokonya mumeo/au mpenzi wako sababau unajua nini anapenda na unampa na ziada.,nisikuchoshe Mkuu mweleze nini unapenda mfundishe style pole pole,sio kila siku chumbani tuu,mechi nyengine ukumbini nyengine jikoni yani jitoe fahamu .....lol
 
Sidhani kama ni swala la kukeketwa hapo nawajua wanawake waliokeketwa na wanapiga mgegedo wa maana, na mimi ni mmoja wao ninayeishi na mwanamke aliyekeketwa mwanzoni alikuwa anaona aibu lkn nikamweka sawa anakula mgegedo huyoooo!!! Weee kama katiwa bangi vile
unaibiwa wewe
 
achana nae tafuta mwingine....yaani mlundikano wa wanawake namna hii mjini bado unapata tabu na mmoja wapo
We mzaramo embu mtie moyo mwnezako yaani amwache tena, je akipata mwingine kama wa hivyo itakuaje sasa, nadhani apambane kwanza kwani suruhisho sio kukimbia kwa kuwa hakuna chuo cha mapenzi ambacho kila mtu anafundishwa mambo mengine huwa kama watoto wadogo akichungulia tu ulimwenguni akipewa nyonyo ananyonya huku wengine wakileta swaga za kung'ata ng'ata chuchu za mama
 
abnafaa kuwa mke mkuu... swala la kutikisika kitandani uwe unambana pua atatikisika.... kama unaona hilo zoezi gumu basi uache tafuta demu mwingine uoe
 
sababu kutikisika pia inategemea na kishindo cha dushe kinavyoingia lazima mwili ukubali tu
Ni kweli, ila mimi binafsi nishughulike mwenyewe kwa asilimia kubwa kuliko kushughulikiwa! kuna wanaake unaeza kwenda nae game ukajua unaenda kummbato kumbe unaenda kumbwato wewe, mi hii sipendi!
 
ha ha hahaha haki sawa mkuu

mi mwanamke asiposikitika ni sawa na gari lilitulia, nimepewa uhuru wa kufanya yangu yote, tena uzuri wa hawa wasikatika, pia huwa hawalalamiki au kukataa chochote, anakuwacha ufanye yako yote! yaani yote!
1
 
Back
Top Bottom