strong gal
JF-Expert Member
- Feb 18, 2014
- 271
- 214
Yaan ni sawa na mtu alo bakwa..inakuaga ni athari ya kisaikolojia.anaweza kua anakupenda sana lakn kujiamn ni shida.msaidie ajiamn then akuamn na ww pia..kiukwel single mums wote hua hawamuamn mwanaume yoyote yule kwa haraka namna hyo..Hilo nalo lipo maana one day tuligombana kwa jambo dogo tu lakini akaanza kusema mimi ni wale wale tu namchezea na nntamwacha na ndio maana naogopa kujiachia
Matendo yako na muda vitamfanya kumbadilisha..
Afu nikuulize swali.mmeweza kukubaliana na mtoto wake.yani muweke wazi ni jinsi gan wamchukulia mwanae na hata ndg zako wakizngua bado msimamo wako utakua vipi
Wanawake tuna mambo meng sana ndugu..jitahid kua mvumilivu..ila tafadhari usimuache maana kwa mwanaume atae fuata ndo litakua janga mara mia.moody atakua musoma yy yupo mkoa mpya wa songwe