Kwanza labda nikuulize Huyo mtoto ana umri gani?? mana kama hajatimiza miaka 2 usikute ana wasiwasi ukimnyonya chuchu itatoka na maziwa, au anaogopa kumbemenda mtoto kama tulivyoaminishwa ndio mana hayuko huru ana woga Fulani.
Pili upo uwezekano uhusiano wake wa mwanzo umemuathiri kwa kiasi kikubwa, muweke sawa asahau yalopita, Na je mazingira mnayofanyia mapenzi mtoto anakuwa wapi?? yani huyo ana kitu kina msumbua tu labda hayuko free hapo kwake, jaribu siku moja kumtoa mwende hotel, na wewe usiwe unamshika shika na kumbusu ukiwa unataka kumgegeda tu, kama hamuishi pamoja kila unapoenda kwake kama mtoto hayuko karibu, mpige busu, mnyonye mdomo, then muache, kama alikuwa anapika aendelee na kazi zake, ukiondoka mkumbatie mpige busu mnyonye mdomo nenda zako. ukiwa umekaa nae nae faragha mikono yako iwe inatembea kweney mwili hata kama huna mpango wa kumgegeda usiwe unakaa nae kama dada yako, mtofautishe anapokuwa kaka na mpenzi wake na akiwa na kaka yake, sio umekaa na mwanake kama kama mko kwenye kikao cha kamati kuu. ukimzoesha hizo bashasha naamini kidogo dogo atabadilika na kuzoe, hata ukiwa una mgegeda usiwe unamwambia geuka kama uko kwenye gwaride mnaagizana na kuamrishana, wewe ukichoka na style ya mwanzo mgeuze mwenyewe muweke unavyotaka, au ukimuweke pia anarudi faster style nyingien????? halfu ukumbuke unazini, ufanye umuoe yaishe.