Mpenzi wangu hajawahi kuwa na 'love mood'

Mpenzi wangu hajawahi kuwa na 'love mood'

Kwanza ...nikueleze ukweli huyo mwanamke hakufai tafuta wa ubavu wako hatuwezi muita lapulapu ila ni sawa na mke wa mtu ana mwenzake wenye mtoto nae.
MAISHA HAYAJI MARA YA PILI.....
 
Kwa hiyo mkuu unataka kusema wewe ni mtaalamu sana kuliko aliyemfanya akampeleka 'leba'?....
 
Kwa hiyo mkuu unataka kusema wewe ni mtaalamu sana kuliko aliyemfanya akampeleka 'leba'?....
Kwanza kabisa sijalielewa swali lako, na pili sijaelewa ulichamaanisha. hebu funguka tusaidiane kimawazo
 
Duh! Wameisha mpaka uoe mwenye mtoto, vuta subira kwanza, kula mzigo taratiiibu! Hata ukija muoa gharama za kusomesha mtoto awe ashalipia before
 
Kwanza kabisa sijalielewa swali lako, na pili sijaelewa ulichamaanisha. hebu funguka tusaidiane kimawazo
Umesema tayar ana mtoto maana yake tayar kuna mtu alishampeleka leba...ndio nauliza unaamini wewe ni zaidi ya yule aliyempeleka leba?binfasi naona unajipa stress za bure
 
Umesema tayar ana mtoto maana yake tayar kuna mtu alishampeleka leba...ndio nauliza unaamini wewe ni zaidi ya yule aliyempeleka leba?binfasi naona unajipa stress za bure
Well inategemea na mtu mwenyewe yukoje na pia hakuna sayansi ya mapenzi inayosema anayempeleka mwanamke leba ndio fundi au bora kimapenzi kwake, hivi unafahamu kwamba kumtia mimba mwanamke hakuitaji ufundi sana wala staili nyingi. Ni manii yaliyorutubika tu ndio yanatosha kumpa mimba mwanamke bila kujali kama anaridhika au kufurahia penzi. Kumpa mimba mwanmke na kumpa penzi ni vitu viwili tofauti,
 
Love conquers all and ittakes time . Mkuu mwanamke ni receiving agent na hureact kutokana na wewe, mazingira na historia. Utayari wa kufanya ngono hutofautiana na ni evolving process , kadri anavyokuamini ndivyo atakavyojiachia huru kwako. Kama unampenda hebu invest muda wako kwake umuelewe na kuzidi kumuelewesha nia na malengo yako. Mara nyingi moyo uliopondoka huchukua muda kuamini tena. Mwanamke kama una kauli nzuri, hauna ubabe , na communication yenu ni nzuri taratibu atakuamini na kufurahia mapenzi na wewe, Ila akihisi upo kwa ajili ya manufaa yako ,kauli si nzuri, asante wala samahani haitoki basi anaweza beba hisia hizi hadi chumbani. Take time umsome vema ikishindikana ndio uamue vingine.
 
Thanks Pal
 
Maybe hammatch,maybe bado ana majeraha ambayo yanamfanya asifuraie mapenzi, maybe kuna kitu kinamtatiza ktk maisha yake hivyo inasababisha mood kupotea, maybe..... maybe.... maybe.....

All in all mwenye majibu ni yeye msaidie.
May be hampatii pesa [emoji23] [emoji23]
 
Well inategemea na mtu mwenyewe yukoje na pia hakuna sayansi ya mapenzi inayosema anayempeleka mwanamke leba ndio fundi au bora kimapenzi kwake, hivi unafahamu kwamba kumtia mimba mwanamke hakuitaji ufundi sana wala staili nyingi. Ni manii yaliyorutubika tu ndio yanatosha kumpa mimba mwanamke bila kujali kama anaridhika au kufurahia penzi. Kumpa mimba mwanmke na kumpa penzi ni vitu viwili tofauti,
Ndio mkuu...bahati mbaya sana sijazungumzia ufundi wa kitandani...ninachomaanisha ni hali ya kumatch hisia....yaan kila mmoja ajione ni sahihi kwa mwenzake kiasi kwamba kila mmoja awe huru na ajione yupo sehemu sahihi na hata anachokifanya aone ni sahihi na anafurahia....hali ya yeye kutokupa ushirikiano ni moja kati ya mengi ambayo inaonyesha hayupo na wewe kiakili wala kiroho..ndio ninachomaanisha na ndio maana nkakuuliza unafikiri kuwa wewe ni zaidi ya huyo aliyempeleka leba?maana usikubali hata siku moja ukaambiwa mimba ilitungwa bahati mabya na wewe ukakubali ndio...
 
Hapo nimekuelewa mkuu, hiyo pia inaweza ikawa kweli
 
Fuatilia baadhi ya comments za wadau hapo juu ni nzuri sana ongeza na hii yangu.
Wanawake hujifunza kutokana na mwenzi wake yukoje.Kaka chukua ushauri huu utanikumbuka.
Kwanza huyo dada inaonekana ni mzuri kuoa kwa sababu ukishamuoa utamuweka wewe utakavyo.Alaf hakuna kitu kinaboa kama kumuuliza mwanamke mbona hutaki hivi mbona hutaki sijui oral sex au romance.Fanya vitendo romantically ukiona ni mgeni maeneo hayo acha usimuulize tumia akili ya kuzaliwa kumshawishi kivitendo.
1.Kwa kuwa ushampenda muhakikishie kuwa utamuoa kwa kwenda kujitambulisha kwao ili yeye awe huru na wewe.Wanawake waliotendwa ni waoga sana coz atajiuliza ."Ntanyonya dushe za wangapi?"
2.Jitahidi kuwa msafi unapokuwa nae.Sio unataka romance alaf mdomo unanuka vitu gani sijui(just kidding)
3.Wanawake sisi bwana ukitaka kutuwini jifanye kama hutaki sex yaani potezea kiaina.(Hii humuongezea mwanamke hali ya kukuhitaji zaidi)
4.Toa care ya hali ya juu kama kumjulia hali asubuhi mchana jioni.Tuma vocha na vi mpesa vya kutumia.She will be attracted to you hata kama hajawahi kuwa na mudi tokea azaliwe.
5.Baada ya hayo muoe tuu kwa sababu bora ukutane na mwanamke ambaye hajui kitu umfundishe wewe kuliko kuoa mwanamke anajua vitu usivyovitaka.
 
Back
Top Bottom