nzalendo
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 12,106
- 12,916
Siamini ....hakuna kitu kitu kama hicho.....We are in this world for a purpose, to help each other.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siamini ....hakuna kitu kitu kama hicho.....We are in this world for a purpose, to help each other.
Kwanza kabisa sijalielewa swali lako, na pili sijaelewa ulichamaanisha. hebu funguka tusaidiane kimawazoKwa hiyo mkuu unataka kusema wewe ni mtaalamu sana kuliko aliyemfanya akampeleka 'leba'?....
I will keep that in mindDuh! Wameisha mpaka uoe mwenye mtoto, vuta subira kwanza, kula mzigo taratiiibu! Hata ukija muoa gharama za kusomesha mtoto awe ashalipia before
Umesema tayar ana mtoto maana yake tayar kuna mtu alishampeleka leba...ndio nauliza unaamini wewe ni zaidi ya yule aliyempeleka leba?binfasi naona unajipa stress za bureKwanza kabisa sijalielewa swali lako, na pili sijaelewa ulichamaanisha. hebu funguka tusaidiane kimawazo
Well inategemea na mtu mwenyewe yukoje na pia hakuna sayansi ya mapenzi inayosema anayempeleka mwanamke leba ndio fundi au bora kimapenzi kwake, hivi unafahamu kwamba kumtia mimba mwanamke hakuitaji ufundi sana wala staili nyingi. Ni manii yaliyorutubika tu ndio yanatosha kumpa mimba mwanamke bila kujali kama anaridhika au kufurahia penzi. Kumpa mimba mwanmke na kumpa penzi ni vitu viwili tofauti,Umesema tayar ana mtoto maana yake tayar kuna mtu alishampeleka leba...ndio nauliza unaamini wewe ni zaidi ya yule aliyempeleka leba?binfasi naona unajipa stress za bure
Thanks PalLove conquers all and ittakes time . Mkuu mwanamke ni receiving agent na hureact kutokana na wewe, mazingira na historia. Utayari wa kufanya ngono hutofautiana na ni evolving process , kadri anavyokuamini ndivyo atakavyojiachia huru kwako. Kama unampenda hebu invest muda wako kwake umuelewe na kuzidi kumuelewesha nia na malengo yako. Mara nyingi moyo uliopondoka huchukua muda kuamini tena. Mwanamke kama una kauli nzuri, hauna ubabe , na communication yenu ni nzuri taratibu atakuamini na kufurahia mapenzi na wewe, Ila akihisi upo kwa ajili ya manufaa yako ,kauli si nzuri, asante wala samahani haitoki basi anaweza beba hisia hizi hadi chumbani. Take time umsome vema ikishindikana ndio uamue vingine.
May be hampatii pesa [emoji23] [emoji23]Maybe hammatch,maybe bado ana majeraha ambayo yanamfanya asifuraie mapenzi, maybe kuna kitu kinamtatiza ktk maisha yake hivyo inasababisha mood kupotea, maybe..... maybe.... maybe.....
All in all mwenye majibu ni yeye msaidie.
Ndio mkuu...bahati mbaya sana sijazungumzia ufundi wa kitandani...ninachomaanisha ni hali ya kumatch hisia....yaan kila mmoja ajione ni sahihi kwa mwenzake kiasi kwamba kila mmoja awe huru na ajione yupo sehemu sahihi na hata anachokifanya aone ni sahihi na anafurahia....hali ya yeye kutokupa ushirikiano ni moja kati ya mengi ambayo inaonyesha hayupo na wewe kiakili wala kiroho..ndio ninachomaanisha na ndio maana nkakuuliza unafikiri kuwa wewe ni zaidi ya huyo aliyempeleka leba?maana usikubali hata siku moja ukaambiwa mimba ilitungwa bahati mabya na wewe ukakubali ndio...Well inategemea na mtu mwenyewe yukoje na pia hakuna sayansi ya mapenzi inayosema anayempeleka mwanamke leba ndio fundi au bora kimapenzi kwake, hivi unafahamu kwamba kumtia mimba mwanamke hakuitaji ufundi sana wala staili nyingi. Ni manii yaliyorutubika tu ndio yanatosha kumpa mimba mwanamke bila kujali kama anaridhika au kufurahia penzi. Kumpa mimba mwanmke na kumpa penzi ni vitu viwili tofauti,