Mpenzi wangu hana wivu na mimi wala hayuko 'romantic' nifanyaje?

Kwahiyo wewe mpaka leo ulikuwa unaamini mapenzi yanaexist?

Kwenye wimbo wa 2Pac Shakur wa all eyes on me kuna kipande anasema money bring bitch, bitch bring love.

Jifunze kuwaelewa wanawake.
 
Nakazia hapa sina cha kuongeza umemaliza kila kitu,achukue huu ushauri atakuja kukushukuru badae.
 
Fafanua aise, sijakuelewa kabisa
 
watu watarukaruka hapa na coments zao lkn ukweli halisi ndo huo

wife material wengi hawanaga mbwembwe

aanze kukutafta asbh, mchan na jioni ili iweje?

kutwa akuimbie nakupenda ili iweje??

upendo unakaa moyoni na siyo mdomoni..

hakufatilii uko wapi , unafanya nini kwa kuwa anakuamini.
we kama umempenda muoe, hayo mengine yatajiset yenyewe
 
Daah brother ujue hadi naogopa upendo gani wa design hiyo. Cha ajabu haniombi pesa yeye anataka tuwe tu wote
 
Hata mm niko hvyo kwa mtu nisiempenda.. yaan hvyo hvyoo.. ila nakua nae tuu mtu huyo kwasabab fulan.. ila kumpenda .. noo
[emoji848][emoji125]nikikutana na mtu km wewe siwezi vumilia hata mwezi!
Siweziiii!

Labda niwe kimaslahi,but pembeni nitakua na mtu ambae ananipenda
 
mapenzi ni ungese tena ungese wenyewe unaletwa na mademu
 
Kama wewe mwenyewe hamuelewi, unadhani wahuni wa humu ndani watamuelewa.

Tulia, umiza kichwa na utapata jibu lako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…