Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo wewe mpaka leo ulikuwa unaamini mapenzi yanaexist?Jamani kama nilivyotangulia kusema hapo juu kwenye heading, naombeni Ushauri wenu kwenye Hili. Iko hivi nina mpenzi wangu ambaye tuna mda wa miezi 6+ kwenye mahusiano, japo tumekua karibu tangu 2020, ila mahusiano rasmi ni hiyo miezi 6.
Nakazia hapa sina cha kuongeza umemaliza kila kitu,achukue huu ushauri atakuja kukushukuru badae.Baada ya kusoma content, nikushauri
Kama unatafuta mwanamke wa kuuzia sura na yale mahaba ndi ndi ndi,
UYO HAKUFAI ACHANA NAE HARAKA SANA.
Ila Kama unatafuta mwanamke wa kuoa na kua mama Bora wa familia yako,
UYO ANAKUFAA 100% MUOE HARAKA SANA.
Kama ujaelewa sema nikufafanulie
aachane na mpenzi wa mtuAtakua mpenz wa ushirika[emoji4]
Fafanua aise, sijakuelewa kabisaBaada ya kusoma content, nikushauri
Kama unatafuta mwanamke wa kuuzia sura na yale mahaba ndi ndi ndi,
UYO HAKUFAI ACHANA NAE HARAKA SANA.
Ila Kama unatafuta mwanamke wa kuoa na kua mama Bora wa familia yako,
UYO ANAKUFAA 100% MUOE HARAKA SANA.
Kama ujaelewa sema nikufafanulie
Pesa haombi. In fact siyo gold diggerVipi kuhusu kukuomba hela?
watu watarukaruka hapa na coments zao lkn ukweli halisi ndo huoBaada ya kusoma content, nikushauri
Kama unatafuta mwanamke wa kuuzia sura na yale mahaba ndi ndi ndi,
UYO HAKUFAI ACHANA NAE HARAKA SANA.
Ila Kama unatafuta mwanamke wa kuoa na kua mama Bora wa familia yako,
UYO ANAKUFAA 100% MUOE HARAKA SANA.
Kama ujaelewa sema nikufafanulie
Daah brother ujue hadi naogopa upendo gani wa design hiyo. Cha ajabu haniombi pesa yeye anataka tuwe tu wotewatu watarukaruka hapa na coments zao lkn ukweli halisi ndo huo
wife material wengi hawanaga mbwembwe
aanze kukutafta asbh, mchan na jioni ili iweje?
kutwa akuimbie nakupenda ili iweje??
upendo unakaa moyoni na siyo mdomoni..
hakufatilii uko wapi , unafanya nini kwa kuwa anakuamini.
we kama umempenda muoe, hayo mengine yatajiset yenyewe
[emoji23][emoji23]Mchaga huyo
[emoji848][emoji125]nikikutana na mtu km wewe siwezi vumilia hata mwezi!Hata mm niko hvyo kwa mtu nisiempenda.. yaan hvyo hvyoo.. ila nakua nae tuu mtu huyo kwasabab fulan.. ila kumpenda .. noo
Nalo nenouna uhakika huyo ni mpenzi wako??
Wakati anaona kabisa?Alafu ndo umuoe uishi nae for the rest of your life??
Mpk hapo anatesekaUsipofanya maamuzi utateseka sana
Chaga huwa hazipo romantic......Mchaga huyo
Kama wewe mwenyewe hamuelewi, unadhani wahuni wa humu ndani watamuelewa.Jamani kama nilivyotangulia kusema hapo juu kwenye heading, naombeni Ushauri wenu kwenye Hili. Iko hivi nina mpenzi wangu ambaye tuna mda wa miezi 6+ kwenye mahusiano, japo tumekua karibu tangu 2020, ila mahusiano rasmi ni hiyo miezi 6.
Huyu mpenzi wangu nilipanga kumuoa mwishoni mwa mwaka huu au mwakani mwanzoni. Ila amekua akinichanganya kwenye baadhi ya mambo kama