Unasali ili iweje wewe.....Tukasali kwanza
Unasali ili iweje wewe.....Tukasali kwanza
For Promotional use Only.Hallo.
Aah wana jukwaa baada ya celibacy ya muda wa miezi 9 bila sex. Toka December mpaka mosi August juzi amekuja mpenzi wangu wa muda since 2014. Nimeshindwa kukaza kumwambia nipo celibacy.
Basi nikala vyangu round mbili baada ya mapunziko kiasi tupo kitandani jogoo kama kawa mpenz wangu Akazingua kabisa akidai anaumia licha ya kumwandaa fresh kabisa. Ikabidi nimuache tu na asubuhi pia sijamgusa nimemuacha tu. Anadai machine ni kubwa inagonga kizazi. Na mimi ndio kanifungulisha bora angeniacha tu. Niendelee tu kuto kugusa aya mambo
Nifanyeje wanajukwaa
Binti wa zamani
Na wengine woteeee
Ila imani nyie hamna....mnatafuta a sense of belongingMungu yupo
Sii ambust mpenzio labda wee dyudyu lako kubwa mnoDuuu mwanaume wa nini sasa
Nipo nimekaa paleeeeNa mimi nimezila simuombi tena natulia tuli ka simuoni kama men mwenzangu haloo
Sasa wewe baada ya celibacy ya miezi 8 unashindwa kubembeleza vizuri mpenzi, unamsusia!Hapana ili halijakaa sawaa kabisaa
Hakujua kama utamuumiza, labda na wewe ulikamia sana 🤣Aaah si bora angesema mimi spo vizur mimi walaaa nisinge mgusa