Mpenzi wangu kabadilika kwa sasa hata mawasiliano ni magumu kati yetu

Mpenzi wangu kabadilika kwa sasa hata mawasiliano ni magumu kati yetu

Baba Dayana

Senior Member
Joined
Jul 1, 2016
Posts
144
Reaction score
330
Sasa Iko ivi Mimi na mapenzi basi maana huyu mtoto wa kike nilimpenda japo nilimkuta na mimba ambayo mpaka leo mshikaji aliyempa iyo mimba sijawahi kuonana nae.

Mbaya zaidi ni kwamba licha ya kuchukua majukumu ya Mwanaume mwenzangu uyu Mtoto wa kike nilimpenda sana imagine simu nilimnunulia ila akaishia kuniblock, vocha namuwekea ila sms hajibu mbaya zaidi napiga simu hapokei.

Sasa Iko hivi Mimi na mapenzi basi maana nishampa Mtoto jina na kachukua jina langu japo yeye kapata washauri wengine anitie Hasara.

Soma Pia: Mke wangu kawa chanzo cha kuvunjika kwa ndoa ya jirani yangu


Nakununulia simu kinachofuata nikuniblock, vocha nakuwekea simu hunipigii mpaka Mimi nipige, sms hujibu najiongelesha mwenyewe like seriously?🫤
 
Hawa viumbe wanakupokea jinsi utakavyojipeleka.

Ukijipeleka kifilipino na mapenzi tele, watakupiga matukio mfululizo.

Kuna kipindi inabidi udhibiti nafsi, hata kama umependa usijifanye Shah rukh khan sana.
 
Sasa Iko ivi Mimi na mapenzi basi maana huyu mtoto wa kike nilimpenda japo nilimkuta na mimba ambayo mpaka leo mshkaji aliyempa iyo mimba sijawahi kuonana nae, mbaya zaidi ni kwamba licha ya kuchukua majukumu ya mwanaume mwenzangu uyu mtoto wa kike nilimpenda sana imagine simu nilimnunulia ila akaishia kuniblock, vocha namuwekea ila sms hajibu mbaya zaidi napiga simu hapokei. Sasa Iko ivi Mimi na mapenzi basi maana nishampa mtoto jina na kachukua jina langu japo yeye kapata washauri wengine anitie Hasara.

Nakununulia simu kinachofuata nikuniblock, vocha nakuwekea simu hunipigii mpaka Mimi nipige, sms hujibu najiongelesha mwenyewe like seriously??🫤
Mkuu kipindi hiki unayaaga HAKUNA RANGI UTAACHA ONA😁🙌🏻, Nikutakie mapumziko mema ya hayo unaayaga( MAPENZI)
 
1000011399.png
 
Back
Top Bottom