Mpenzi wangu kabadilika kwa sasa hata mawasiliano ni magumu kati yetu

usimsaidie mwanamke akiwa na shida....shida zake zikiisha anakusahau....

huyu hakukupenda ila kwa kuwa alikuwa na shida zake akaona ajitulize kwa muda ili akikaa sawa aondoke.
Ndo Ivo mkuu, tumeachana saivi Mimi naumia yeye ana enjoy na vidume wengine huko
 
Mkuu kwanza pole, lakini pili ujue wewe ulitumika kama panadol wakati wa maradhi inathamani sana ila yakishapita tu inakuwa dumped away uyo wewe ulimsaidia kumpa relief tu baada yakuterekezwa na mimba yake kajipata sasa soko lipo upya hata ungempa nyumba still hauna maaana ni kheri ungehesabu kama unsaidia km jiran mwema at least now angekufiria.
Aisee acha tu ndugu yangu kufanywa Panadol inauma sana
 
aaaloooooh kuna jamaa apa mtaani,ivo ivo alimkuta binti kalelekezwa na mimba,
jamaa akamchukua,akamtunza vizuri kabisa,
binti akajifungua,
jamaa akasema mie nshakusaidia unaeza enda kwa wazazi wako,
binti akasema hapana, naomba tuishi eote,tulee mtoto,
aah njemba kiroho safi ikakubali,wamelea mtoto kaanza hadi shule.Baba wa mtoto aliyetelekeza mimba,akamtafuta mama wa binti,wakaongea yao,
kisha mama akamtafuta binti ake akaongea nae,kumbe wanapanga kutorosha mtoto aende kwa baba ake.Na kwel walifanikisha,baba mlezi kaishia kuumia,na binti akaanza kiburi,
kufupisha tukamshauri tu amrudshe kwao coz atamuua,,ingawa alianza kuomba msamaha kinafiki,tukamwambia mzee kaza apo, binti alitoka ingawa hakwenda kwao.

Poleni kwa gazeti,,haya mambo yapo wakuu😊😊
 
Yaan kama ulijua kutupa pole,maana comment ndefuuu kpnz
 
Kwahiyo wewe ni jirani yake mleta uzi... hongereni naona majirani mmekutana jeiefu
 
Back
Top Bottom