Mpenzi wangu kabadilika kwa sasa hata mawasiliano ni magumu kati yetu

Sasa Iko ivi Mimi na mapenzi basi maana huyu mtoto wa kike nilimpenda japo nilimkuta na mimba ambayo mpaka leo mshkaji aliyempa iyo mimba sijawahi kuonana nae.

Mbaya zaidi ni kwamba licha ya kuchukua majukumu ya mwanaume mwenzangu uyu mtoto wa kike nilimpenda sana imagine simu nilimnunulia ila akaishia kuniblock, vocha namuwekea ila sms hajibu mbaya zaidi napiga simu hapokei.

Sasa Iko ivi Mimi na mapenzi basi maana nishampa mtoto jina na kachukua jina langu japo yeye kapata washauri wengine anitie Hasara.

Nakununulia simu kinachofuata nikuniblock, vocha nakuwekea simu hunipigii mpaka Mimi nipige, sms hujibu najiongelesha mwenyewe like seriously??🫤
🤣🤣🤣🤣 uko wapi kwani?
 
Ukimuondoa Nyumbu,Mwanamke ndiye mwanamke anayeongoza Kwa kutokuwa na Akili duniani!
Nina wasiwasi, biblia imesema tuishi nao kwa akili means wao ndo wenye akili kutuzidi ndo maana tukaonywa mapema
 
Sasa Iko ivi Mimi na mapenzi basi maana huyu mtoto wa kike nilimpenda japo nilimkuta na mimba ambayo mpaka leo mshkaji aliyempa iyo mimba sijawahi kuonana nae.

Mbaya zaidi ni kwamba licha ya kuchukua majukumu ya mwanaume mwenzangu uyu mtoto wa kike nilimpenda sana imagine simu nilimnunulia ila akaishia kuniblock, vocha namuwekea ila sms hajibu mbaya zaidi napiga simu hapokei.

Sasa Iko ivi Mimi na mapenzi basi maana nishampa mtoto jina na kachukua jina langu japo yeye kapata washauri wengine anitie Hasara.

Nakununulia simu kinachofuata nikuniblock, vocha nakuwekea simu hunipigii mpaka Mimi nipige, sms hujibu najiongelesha mwenyewe like seriously??🫤
Upigwe makofi kokote ulipo 🤬
 
Usipende kuwa na TABIA ya kumsaidia MTU ili akupe UCHI.

Unapokutana na desperate woman - msaidie Kama sehemu ya kujipataia thawabu na sio ili aje akupe UCHI.

Unapoamua kutafuta soulmate usilenge kutafuta soul mate ambaye amejichokea Sana , that is hell.

So kuwa MAKINI kwa HILO

Cheap is expensive

Vijana wengi hutafuta desperate women Kama singo mama , walioachika divorced women kwa lengo la kuwapa faraja hao desperate women ili wajipatie uchi wa bei rahisi

Don't do that please .
 
Back
Top Bottom