Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muacha aende....time heals everything....tusimuombee mabaya ila time is cruel to women.Ndo Ivo mkuu, tumeachana saivi Mimi naumia yeye ana enjoy na vidume wengine huko
Wewe si umeolewaNjoo kwangu love...
Ndio nimeolewa....Wewe si umeolewa
So unataka awe mchepuko wakoNdio nimeolewa....
Nimesema aje kwangu ...elewa kiswahili sweetheart...So unataka awe mchepuko wako
one man down.... anakuona lunya tuSasa Iko ivi Mimi na mapenzi basi maana huyu mtoto wa kike nilimpenda japo nilimkuta na mimba ambayo mpaka leo mshkaji aliyempa iyo mimba sijawahi kuonana nae.
Mbaya zaidi ni kwamba licha ya kuchukua majukumu ya mwanaume mwenzangu uyu mtoto wa kike nilimpenda sana imagine simu nilimnunulia ila akaishia kuniblock, vocha namuwekea ila sms hajibu mbaya zaidi napiga simu hapokei.
Sasa Iko ivi Mimi na mapenzi basi maana nishampa mtoto jina na kachukua jina langu japo yeye kapata washauri wengine anitie Hasara.
Nakununulia simu kinachofuata nikuniblock, vocha nakuwekea simu hunipigii mpaka Mimi nipige, sms hujibu najiongelesha mwenyewe like seriously??🫤
Wewe ni litaahira, unaleaje bao la mwanaume mwenzio? Kakuacha kwasababu ameona kabisa huna akili, unajishobozaje na mke wa mtu? Hebu Natafuta Ajira njoo ulione hili bwabwa.Sasa Iko ivi Mimi na mapenzi basi maana huyu mtoto wa kike nilimpenda japo nilimkuta na mimba ambayo mpaka leo mshkaji aliyempa iyo mimba sijawahi kuonana nae.
Mbaya zaidi ni kwamba licha ya kuchukua majukumu ya mwanaume mwenzangu uyu mtoto wa kike nilimpenda sana imagine simu nilimnunulia ila akaishia kuniblock, vocha namuwekea ila sms hajibu mbaya zaidi napiga simu hapokei.
Sasa Iko ivi Mimi na mapenzi basi maana nishampa mtoto jina na kachukua jina langu japo yeye kapata washauri wengine anitie Hasara.
Nakununulia simu kinachofuata nikuniblock, vocha nakuwekea simu hunipigii mpaka Mimi nipige, sms hujibu najiongelesha mwenyewe like seriously??🫤
Huyo demu hana makosa, kafanya kinachomstahili huyo bwege, inakuwaje unakuwa mpumbavu kiasi hicho?Kimbia kakuona zoba sense day one ulivyopokea mzigo usiokuhusu.
Nowdays wanawake ni vichomi nashauri kama hujaoa Achana na huu ufala utauza furaha yako kwa kulea matoto ya watu yaliyoharibika
Weeeeh!! Hayasusiwagi hivyo🤣🤣Ushauri wako nauchukua, Mimi na mapenzi basi sitaki tena
Acha ujinga basi unatudhalilisha wanaumeMapenzi yalinifanya kuwa kipofu
Sasa Iko ivi Mimi na mapenzi basi maana huyu mtoto wa kike nilimpenda japo nilimkuta na mimba ambayo mpaka leo mshkaji aliyempa iyo mimba sijawahi kuonana nae.
Mbaya zaidi ni kwamba licha ya kuchukua majukumu ya mwanaume mwenzangu uyu mtoto wa kike nilimpenda sana imagine simu nilimnunulia ila akaishia kuniblock, vocha namuwekea ila sms hajibu mbaya zaidi napiga simu hapokei.
Sasa Iko ivi Mimi na mapenzi basi maana nishampa mtoto jina na kachukua jina langu japo yeye kapata washauri wengine anitie Hasara.
Nakununulia simu kinachofuata nikuniblock, vocha nakuwekea simu hunipigii mpaka Mimi nipige, sms hujibu najiongelesha mwenyewe like seriously??🫤
Una hoja, usikilizwee!!Ulimkuta na mimba…
Siku nyingine epuka kuanzisha mahusiano na mtu ambaye anapitia kipindi kigumu kwenye maisha. Hiko kipindi kikipita wakijipata huwa wanaenda kwenye machaguo yao.
Ndo nishasusa ivo sitaki tena 😀Weeeeh!! Hayasusiwagi hivyo🤣🤣
Mapenzi ndugu yangu, ujinga mtupu na ufala ☹️"Umemkuta na mimba ya mwanaume mwingine na ukampenda"
Hivi uko sawa kiakili wewe ?
Nimeacha ujinga mzee 🙏Acha ujinga basi unatudhalilisha wanaume
Dooh!! Ila ni mzunguko tu wa maisha mzeeWewe ni litaahira, unaleaje bao la mwanaume mwenzio? Kakuacha kwasababu ameona kabisa huna akili, unajishobozaje na mke wa mtu? Hebu Natafuta Ajira njoo ulione hili bwabwa.