Mpenzi wangu kabadilika kwa sasa hata mawasiliano ni magumu kati yetu

Wananume wenye "moyo wa Mawingu" kama wewe ni wachache sana kama ulidhamiria kuacha wanawake wote milioni 40 waliopo nchini na kuchagua mwenye mimba ya mwananume mwingine basi una kitu.......
Hilo tukio ulilopigwa likawe fundisho kwa wanaume wote wenye miyo kama yako
 
πŸ˜‚πŸ˜‚ Katika maisha yangu mtu mmoja hawezi kunifanya nichukie jinsia nzima ya Ke... Never
Mapenzi ni sanaa kama mziki n.k kwamba you can date with any woman/girl na asikuchoke. Ukiona unatemwa na kila mwanamke kajifunze sanaa ya mapenzi kwanza ndio urudi. I mean shida sio jinsia ya Ke ni wew... Trust me
 
Mapenzi upofu ndugu yangu
 
Sijawachukia wanawake ndugu, nimeyachukia mapenzi siyataki tena
 
Kuifungua njia mtoto aweze kupita mkuu
Kichwa kinapita cha mtoto, itakuwa hicho kidudu chako? Kinaongeza nini? Shahawa ndo zinakazi kipindi cha karibia na kujifungua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…