Mpenzi wangu kagoma kuzama chumvini kwasababu ya cheo chake kazini

Mpenzi wangu kagoma kuzama chumvini kwasababu ya cheo chake kazini

Mlalamikaji: Money Penny bwana huku kwenye ndoa yangu changa kuna shida mno

Tumefunga harusi mwezi uliopita, Eti mume kagoma kuzama chumvini kwasababu yeye ana cheo kazini NI Boss kubwa

mimi namwuliza kuzama chumvini na cheo kazini kinaingiliaje hataki kusema

Money Penny: haya mambo kwanini hamkuongelea kabla hamjaoana?!

mlalamikaji: kusema ukweli tangu tuoane tulizini mara moja Tu ambayo wiki iliofuata tulifunga ndoa

Money Penny: anti mlipo du alikutoa Bikra au wote mlikuwa mmekubuhu

mlalamikaji: sote tulikuwa tushabikiriwa zamani

Money Penny: samahani WADAU huku JF, wale Wana Yanga na Wana Simba Naombeni mumshauri anti mlalamikaji [emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
Inategemea na chumvini kwenyewe.
 
Back
Top Bottom