Wewengoja tutoke ibadani
Abee😌Wewe
"Uwezo, wa, kumsumbua kutumia polisi unao"Mko poa walimwengu?
Nina mpenzi wangu ambae ni mke wa mtu,jana jioni tulikua tunachat nae kwenye moja ya mtandao wa kijamii.ghafla nikaona kapotea hewani,baada kama ya masaa mawili nikaona number ngeni inanipigia kupokea ni huyu mwanamke wangu alikua katumia number ya jirani yake,alikua analia kwa uchungu akaniambia mumewe kaona chattings zetu na hivyo kumpiga sana na mkanda wa suruali.
So wakuu hapa nichukue hatua gani,nimfanyizie jamaa apelekwe dawati la jinsia police kisha tumlaze lock up siku mbili tatu au nifanyaje maana uwezo wa kumsumbua kwa kutumia police ninao?
Nikikukamata umekwisha.Mko poa walimwengu?

Noted"Uwezo, wa, kumsumbua kutumia polisi unao"
Kisa utamu wa mke wa mtu! Bado safari yako ya kujitambua ni ndefu sana,
Fanya hivyo, ili umkuleeeeee! Mpaka azae,au mpe jamaa kesi ya, uhujumu uchumi, madawa, akae huko, hata mwaka, wewe uendelee kula vitu
Rubbish!!Mko poa walimwengu?