Mpenzi wangu kanishtakia kuwa kapigwa mikanda na mumewe. Nichukue hatua gani?

Mko poa walimwengu?
Nina mpenzi wangu ambae ni mke wa mtu,jana jioni tulikua tunachat nae kwenye moja ya mtandao wa kijamii.ghafla nikaona kapotea hewani,baada kama ya masaa mawili nikaona number ngeni inanipigia kupokea ni huyu mwanamke wangu alikua katumia number ya jirani yake,alikua analia kwa uchungu akaniambia mumewe kaona chattings zetu na hivyo kumpiga sana na mkanda wa suruali.
So wakuu hapa nichukue hatua gani,nimfanyizie jamaa apelekwe dawati la jinsia police kisha tumlaze lock up siku mbili tatu au nifanyaje maana uwezo wa kumsumbua kwa kutumia police ninao?
Another innocent neck carrying a rotten pumpkin head 🗣️
 
Hivi mamwanamke ya bure bure yalivyojaa mtaani namna hii.nyie wenzetu guts za kupenda kuwalala wake za watu mnatoa wapi?hata kinyaa hamuoni?
 
Wew ni mpumbavu, wew unafkri kuwa kama una connection na hao polisi, ndo unaweza kufanya yote hayo! Lakn ukumbuke baada ya jamaa kumpa suruba zote zile zikapita baada ya hapo mtakua mkipishana mitaan na hautokua na hao polisi unaojisifia na jamaa lazma ataujua mkanda mzima, kwahyo maamzi ni yake, lakn pia kumbuka wakat unafanya hayo yote, yeye pia ana ndugu, marafik na jamaa zake wenye uchungu nae, kaz ni kwako! Ila kuna watu hawajitambui dunian, unichukulie mke halaf unichome polisi, nikitoka nikute umeshahama kabsa, nitakachokufanya utasimulia majukuu zako.
 
Tafuta kazi ya kufanya ili ujikeep busy na maisha,
Hizi nyuzi za kutunga haziwezi kuyabadili maisha yako,fainali uzeeni mkuu,

Usujikatie tamaa ya maisha kwa kujitungia vinyuzi na kuvitupia humu ili tu kujifariji.
 
Raia huwa wanahangaika kucomment kwenye chai za mwamba...
 
Inamaana kumbe jamaa unamchukulia mke kisa unajua ni mnyonge! Komea kwa huyo huyo ipo siku hautokuja kukaa ukaamin macho yako
 
Mko poa walimwengu?
Nina mpenzi wangu ambae ni mke wa mtu,jana jioni tulikua tunachat nae kwenye moja ya mtandao wa kijamii.ghafla nikaona kapotea hewani,baada kama ya masaa mawili nikaona number ngeni inanipigia kupokea ni huyu mwanamke wangu alikua katumia number ya jirani yake,alikua analia kwa uchungu akaniambia mumewe kaona chattings zetu na hivyo kumpiga sana na mkanda wa suruali.
So wakuu hapa nichukue hatua gani,nimfanyizie jamaa apelekwe dawati la jinsia police kisha tumlaze lock up siku mbili tatu au nifanyaje maana uwezo wa kumsumbua kwa kutumia police ninao?
Acha ujinga
 
Raia huwa wanahangaika kucomment kwenye chai za mwamba...
Ni ukosefu wa kazi tu mkuu,huu muda wa kutunga hizi chai ni bora hata angeenda kuomba ajira kwa muuza juice ya miwa ili yeye awe anasafisha zile glasi na kufukuza Nzi.
 
Mko poa walimwengu?
Nina mpenzi wangu ambae ni mke wa mtu,jana jioni tulikua tunachat nae kwenye moja ya mtandao wa kijamii.ghafla nikaona kapotea hewani,baada kama ya masaa mawili nikaona number ngeni inanipigia kupokea ni huyu mwanamke wangu alikua katumia number ya jirani yake,alikua analia kwa uchungu akaniambia mumewe kaona chattings zetu na hivyo kumpiga sana na mkanda wa suruali.
So wakuu hapa nichukue hatua gani,nimfanyizie jamaa apelekwe dawati la jinsia police kisha tumlaze lock up siku mbili tatu au nifanyaje maana uwezo wa kumsumbua kwa kutumia po

Mko poa walimwengu?
Nina mpenzi wangu ambae ni mke wa mtu,jana jioni tulikua tunachat nae kwenye moja ya mtandao wa kijamii.ghafla nikaona kapotea hewani,baada kama ya masaa mawili nikaona number ngeni inanipigia kupokea ni huyu mwanamke wangu alikua katumia number ya jirani yake,alikua analia kwa uchungu akaniambia mumewe kaona chattings zetu na hivyo kumpiga sana na mkanda wa suruali.
So wakuu hapa nichukue hatua gani,nimfanyizie jamaa apelekwe dawati la jinsia police kisha tumlaze lock up siku mbili tatu au nifanyaje maana uwezo wa kumsumbua kwa kutumia police ninao?
Nenda kamwambie jamaa wewe ndo ulikuwa unachat na mke wenu.

Kisha mkubaliane umpe nusu ya mahari aliyotoa ili asipigwe tena mikanda
 
Mke wa mtu hrf akiachika unakimbia! Dunia inaenda kasi Sana kwenye ulimwengu wa mahusiano, hrf umeshiba maharagwe umevimbiwa unapata nguvu ya kuandika upupu
 
Back
Top Bottom