Mpenzi wangu kanishtakia kuwa kapigwa mikanda na mumewe. Nichukue hatua gani?

Lissu angejua kule ndani ndo anapambania sampuli kama izi dogo acha ushamba
 
Kama vijana wenyewe ndo hawa Lissu angekubali tu zile fedha za Abduli!
 
Mko poa walimwengu?
Nina mpenzi wangu ambae ni mke wa mtu,jana jioni tulikua tunachat nae kwenye moja ya mtandao wa kijamii.ghafla nikaona kapotea hewani,baada kama ya masaa mawili nikaona number ngeni inanipigia kupokea ni huyu mwanamke wangu alikua katumia number ya jirani yake,alikua analia kwa uchungu akaniambia mumewe kaona chattings zetu na hivyo kumpiga sana na mkanda wa suruali.
So wakuu hapa nichukue hatua gani,nimfanyizie jamaa apelekwe dawati la jinsia police kisha tumlaze lock up siku mbili tatu au nifanyaje maana uwezo wa kumsumbua kwa kutumia police ninao?
Muoe wewe
 
Stupid
 
Nakushauri nenda kampige huyo jamaa yake utakuja kunishukuru
 
Mko poa walimwengu?
Nina mpenzi wangu ambae ni mke wa mtu,jana jioni tulikua tunachat nae kwenye moja ya mtandao wa kijamii.ghafla nikaona kapotea hewani,baada kama ya masaa mawili nikaona number ngeni inanipigia kupokea ni huyu mwanamke wangu alikua katumia number ya jirani yake,alikua analia kwa uchungu akaniambia mumewe kaona chattings zetu na hivyo kumpiga sana na mkanda wa suruali.
So wakuu hapa nichukue hatua gani,nimfanyizie jamaa apelekwe dawati la jinsia police kisha tumlaze lock up siku mbili tatu au nifanyaje maana uwezo wa kumsumbua kwa kutumia police ninao?
Nenda kamsaidie na ww ukatoe kalio hilo
 
Hapo ondoa chapati moja ibaki moja, weka glass ya juice yenye bila sukari.

Hiyo ndio chai ya mleta mada
na supu ya kuzimulia tumbo...

Screenshot_20250831_094111_Google.jpg
 
Achana na wake za watu maana huo ni mchezo usioujua matokeo Yake. Achana naye huyo.
 
Back
Top Bottom