Mpenzi wangu kanishtakia kuwa kapigwa mikanda na mumewe. Nichukue hatua gani?

Mpenzi wangu kanishtakia kuwa kapigwa mikanda na mumewe. Nichukue hatua gani?

Mko poa walimwengu?
Nina mpenzi wangu ambae ni mke wa mtu,jana jioni tulikua tunachat nae kwenye moja ya mtandao wa kijamii.ghafla nikaona kapotea hewani,baada kama ya masaa mawili nikaona number ngeni inanipigia kupokea ni huyu mwanamke wangu alikua katumia number ya jirani yake,alikua analia kwa uchungu akaniambia mumewe kaona chattings zetu na hivyo kumpiga sana na mkanda wa suruali.
So wakuu hapa nichukue hatua gani,nimfanyizie jamaa apelekwe dawati la jinsia police kisha tumlaze lock up siku mbili tatu au nifanyaje maana uwezo wa kumsumbua kwa kutumia police ninao?
Kama wewe mwizi,na mwizi mwenzio kala mikanda,juq kituo kinachofuata ni wewe kula shaba.
 
Mimi mwenzako natoka na huyu mjamzito an kesi anazonipa ni kuwa mumewe anamuonea huruma kipindi hiki amwingilii hvo anakua na nyege sana na jamaa hajali wala nini...

Sasa akija kwangu mi namkanda bila huruma an namkanda ile inaitwa konda kanibana aiseeeee zile kelele zake....
 
mke wa mtu sumu kifo kinakuhitaji anyway kipofu ni kaz sana kumwambia jua jinsi lilivyo
 
Unaweza kabisa kumsaidia kwasababu hakuna kosa la kisheria kuwa na mahusiano na mke wa mtu.
Ila tu jua utakufa vibaya sana
 

Attachments

  • 20250830_160756.jpg
    20250830_160756.jpg
    73 KB · Views: 31
Back
Top Bottom