Mpenzi wangu kanitumbua

Wakuu kwema?
Jana mpenzi wangu alikuja gheto nikamuomba anisaidie kufanya usafi wa nyumba akakataa,nikamchapa kofi moja.leo kanitumia text eti mie na yeye ndio basi na wkt me nilikua namdispline tu.ni haki kweli kutumbuliwa huku bado nampenda?

Eti nilikuwa nam-displine tu, we umekuwa baba yake?. Au alishakuambia kuwa wazazi wake walishindwa kum- displine?. Na akutumbue tu kwani hakuna namna!.
 
Jamani hiyo ID ya Tang'ana c inafanana na Mang'ana mura!!!! kwenye asili ya kupiga!!!
 
Wakuu kwema?
Jana mpenzi wangu alikuja gheto nikamuomba anisaidie kufanya usafi wa nyumba akakataa,nikamchapa kofi moja.leo kanitumia text eti mie na yeye ndio basi na wkt me nilikua namdispline tu.ni haki kweli kutumbuliwa huku bado nampenda?
Unaonyesha unatabia mbaya sana wewe,ivi unampiga mwanamke huna Aibu? si mkeo wala sio hujamtolea mahari unampiga kwa style gani? na am sure utakua umemuomba kibabe ungemuomba kimahaba na kauli nzuri angefanya
ebu badilika mwanamke sikuzote mchukulia kama Dada yako au Mama sidhani kama utafurahia kumuona mtu mwengine
amempiga dada au mama yako eti kisa hajafanya kitu flani,chukulia hili kama fundisho...
 
Wewe ni Mkurya, Mjaluo au Mjita wa Tarime au Rorya?
 
Umeniwahi Mpwa, asante sana, kwanini vijana wa siku hizi wanapenda kuwachezea Wadada wa wenzao kiasi hicho? Huu ni ujinga
 
Kwan ukimuoa ndo kanisan au msikitin wanasema wapigwe?!au walazmishwe
 
We kabila gani? Huyo mpenzi wako angekuwa wa kutokea mkoa fulani, angetoka hapo anaruka ruka kama chura huku akifurahi kuwa una mpenda na una wivu naye sana...
 
Wewe mtu wa ajabu yan dem unamgonga na makofi unampga ..ngoja unyimwe papuchi mana hakuna namna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…