Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 6,156
- 10,974
Shukrani mkuu, japokuwa maumivu ni makali sanaPole sana tafuta hela
Kwanini mkuu!?Kama ni viatu vya manyoya acha tu wamparue
Naunga mkono hoja. [emoji2772]Kama ni mvaaji wa viatu vya manyoya acha tu wamparue
Haitasaidia mkuu, kwa sababu nimemgharamikia sanaIba viatu vyake vya manyonya umkomeshe
Hiyo sampuli ni sumbufu haswa 17-20 na Kama kanaliwa kwa viatu vya 5k hata chupi umnunulii au zina matoboKwanini mkuu!?
Mkuu, kwani tatizo liko wapi?
Aisee! Nimeumia moyo sanaHiyo sampuli ni sumbufu haswa 17-20
Kwani unae mmoja?Aisee! Nimeumia moyo sana
π π pole sana,ndio huyo mvaa kijora na Rasta za takeshi?(rangi rangi)Aisee! Nimeumia moyo sana
Huyu ni tofauti na wengine, yeye haniombi ombi pesa ovyo. Mbususu anaileta on time au kabla ya mudaKwani unae mmoja?
πππKama ni mvaaji wa viatu vya manyoya acha tu wamparue
Ndo hivyo beesmom, mwenzako nishachapiwa hivyo[emoji26][emoji26] Hata hamu ya kula sina[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119]
Ila akili zako unazijuaga mwenyewe πIba viatu vyake vya manyonya umkomeshe
Mkuu, kama vile unamfahamu! Lakini yeye sio muongeaji, ni mpole tu tofauti na micharuko mingine ya Mburahati[emoji28][emoji28] pole sana,ndio huyo mvaa kijora na Rasta za takeshi?(rangi rangi)
Hongera kwa kumiliki takesh