Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 6,156
- 10,974
- Thread starter
- #61
Hao standard si unajua wanahitaji matunzo makubwa mkuu?Awe anadate na wanawake standard sio wa kuliwa kwa 5k
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao standard si unajua wanahitaji matunzo makubwa mkuu?Awe anadate na wanawake standard sio wa kuliwa kwa 5k
Ndo hivyo mkuu, naumia moyo[emoji26]
AiseeKama ni mvaaji wa viatu vya manyoya acha tu wamparue
mmh[emoji15][emoji15][emoji15] kivipi dada angu[emoji848][emoji848][emoji1787][emoji1787][emoji1787]mzee wa matukio
Sina pesa zingi mkuu, maisha yangu ni ya upapatu papatu[emoji26][emoji26]Sasa wewe si umpe IPhone 14.......
Ili uileeeee mpaka kesho yake
Aisee[emoji26][emoji26] Haya ndo mapito, hata usingizi sina! Nahisi kuna kitu kinaniniga shingo, kimenikaa hapapole sana mfiwa naomba kitabu cha maombolezo ni sign[emoji1][emoji1]
Naam[emoji26][emoji26]Wee jamaa bana!!
Dah! Ya dunia ni mengi[emoji26]Na akizipata asiwe na mwanamke MMOJA... Na wala asimp3nde hata mmoja wao.... Awe kama diamond chapa beba mwanao lea
Kwani mkuu, kuzaliwa 98 ndo inamaanisha sitakiwi kula mbususu? Antonnia ,huyu jamaa hataki nikuchakate mbususu[emoji26][emoji26]
Tafuta Hela njoo umuhase kijana atafute helaKama kawaida ya urafiki wangu na watu wangu wa karibu, hatuna tabia ya kutambulishana wapenzi wetu.
Mmoja kati ya marafiki zangu alisema kuwa kuna binti kamnunulia viatu vya manyoya vya elfu tano na kuongezea kuwa siku ya kesho (ambayo ni leo) ataitafuna papuchi yake kwa hasira kali zisizo na mfano, kauli hiyo aliitoa jana. Huyu mutu akaongezea kwa kusema, mida ya saa 1 watakuwa wanatoka lodge X, hivyo itapendeza kama tutakuja kushuhudia uzuri na ufundi wa Mola.
Sasa hivi ndo natoka kushuhudia binti aliyetoka kuchakatwa mbususu kwa ofa ya viatu vya manyoya kuwa ni mpenzi wangu. Roho inaniuma sana[emoji24][emoji24]
Tatizo lilianzia hapa "haniombi ombi pess hovyo" kwaiyo ulijisahau na kushindwa kujiongeza kumgharamikia ukizani ukimya wake wa kutoomba pesa kwamba hazipendi? Ulijidanganya masta, kuna usemi unasema "usipomgharamikia kuna watakao/wanao mgharamikia" kwahiyo ni makosa yako ya kushindwa kujiongeza.Huyu ni tofauti na wengine, yeye haniombi ombi pesa ovyo. Mbususu anaileta on time au kabla ya muda
Na kweli aisee[emoji26][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] iba viatu ili akomeee, lol
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Kwani mkuu, mimi nilizipotezea wapi? [emoji26]
Mwezi wa kumi mwishoni, ila mimi nitavuta hadi mwezi wa 11, maake purukushani za first year hapa mwanzoni zinaboa sana, mara Aris3 zisifunguke, dah! Shida tupu mkuu. Huna hata la kunishauri kuhusu huyu binti manyoya?Mnaenda lini vyuo
Kama kawaida ya urafiki wangu na watu wangu wa karibu, hatuna tabia ya kutambulishana wapenzi wetu.
Mmoja kati ya marafiki zangu alisema kuwa kuna binti kamnunulia viatu vya manyoya vya elfu tano na kuongezea kuwa siku ya kesho (ambayo ni leo) ataitafuna papuchi yake kwa hasira kali zisizo na mfano, kauli hiyo aliitoa jana. Huyu mutu akaongezea kwa kusema, mida ya saa 1 watakuwa wanatoka lodge X, hivyo itapendeza kama tutakuja kushuhudia uzuri na ufundi wa Mola.
Sasa hivi ndo natoka kushuhudia binti aliyetoka kuchakatwa mbususu kwa ofa ya viatu vya manyoya kuwa ni mpenzi wangu. Roho inaniuma sana[emoji24][emoji24]
Aisee[emoji23]Tatizo lilianzia hapa "haniombi ombi pess hovyo" kwaiyo ulijisahau na kushindwa kujiongeza kumgharamikia ukizani ukimya wake wa kutoomba pesa kwamba hazipendi? Ulijidanganya masta, kuna usemi unasema "usipomgharamikia kuna watakao/wanao mgharamikia" kwahiyo ni makosa yako ya kushindwa kujiongeza.
Anyway dem analiwa kwa only 5k gift WHAT A SHAME..itakuwa ni choka mbaya ama njaa kali, ama ninyi na huyo best ako ni vitoto, imagine unaumia kutoa 5k kwa dem unayeenda kumla lodge?.
Tafuteni sana pesa
Haki ya nani, eti Kelsea ,haya maneno ya mama D ni ya kweli? Kwa hiyo nikipata binti mwingine nimtangulizie viatu vya manyoya Kelsea?Tafuta pesa na jufunze kumpenda mpenzi wako mpya kwa maneno na kwa matendo zaidi ili utayempata asikose viatu vya manyoya tena
Ishi nae kwa akili[emoji2][emoji2][emoji2]
Poleee