Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahahaaaa pole, na wengine wanatafunwa kwa chips yai ya 2500 tuKama kawaida ya urafiki wangu na watu wangu wa karibu, hatuna tabia ya kutambulishana wapenzi wetu.
Mmoja kati ya marafiki zangu alisema kuwa kuna binti kamnunulia viatu vya manyoya vya elfu tano na kuongezea kuwa siku ya kesho (ambayo ni leo) ataitafuna papuchi yake kwa hasira kali zisizo na mfano, kauli hiyo aliitoa jana. Huyu mutu akaongezea kwa kusema, mida ya saa 1 watakuwa wanatoka lodge X, hivyo itapendeza kama tutakuja kushuhudia uzuri na ufundi wa Mola.
Sasa hivi ndo natoka kushuhudia binti aliyetoka kuchakatwa mbususu kwa ofa ya viatu vya manyoya kuwa ni mpenzi wangu. Roho inaniuma sana[emoji24][emoji24]
Inasikitisha sana[emoji16]Ahahaaaa pole, na wengine wanatafunwa kwa chips yai ya 2500 tu
Ndo hivyo, hakuna namna nshapoa tuPole mkuu ila maumivu yapo sana
Hapana nalushauri usome kwa bidii wachana na mapenziMwezi wa kumi mwishoni, ila mimi nitavuta hadi mwezi wa 11, maake purukushani za first year hapa mwanzoni zinaboa sana, mara Aris3 zisifunguke, dah! Shida tupu mkuu. Huna hata la kunishauri kuhusu huyu binti manyoya?
Hata mimi mwenyewe bado nashangaa, ila leo naendelea vizuri tu tofauti na hali niliyokuwa nayo jana [emoji18]Huu uzi silingani nao asee...
Yani wa viatu vya manyoya??
Inhekuwa viatu vya uturuki 80000 and above hapo sawa
Course ninayoisomea sijui hata nitapatia wapi kazi baada ya kuhitimu. Sasa "microbiology" na bongo wapi na wapi! Bora kuyanyenyekea mapenzi mara moja mojaHapana nalushauri usome kwa bidii wachana na mapenzi
Sikufanikisha kukumbuka ka video mkuuWeka video upewe muongozo...
Micro kazi zipoCourse ninayoisomea sijui hata nitapatia wapi kazi baada ya kuhitimu. Sasa "microbiology" na bongo wapi na wapi! Bora kuyanyenyekea mapenzi mara moja moja
Rafiki yako alikuambia ukamchabo ili kumuona namna anavyo chana chana vipande nyavu za goli la huyo hawara, ili akimaliza game uweze kumpatia marks na tuzo la uchampion?Kama kawaida ya urafiki wangu na watu wangu wa karibu, hatuna tabia ya kutambulishana wapenzi wetu.
Mmoja kati ya marafiki zangu alisema kuwa kuna binti kamnunulia viatu vya manyoya vya elfu tano na kuongezea kuwa siku ya kesho (ambayo ni leo) ataitafuna papuchi yake kwa hasira kali zisizo na mfano, kauli hiyo aliitoa jana. Huyu mutu akaongezea kwa kusema, mida ya saa 1 watakuwa wanatoka lodge X, hivyo itapendeza kama tutakuja kushuhudia uzuri na ufundi wa Mola.
Sasa hivi ndo natoka kushuhudia binti aliyetoka kuchakatwa mbususu kwa ofa ya viatu vya manyoya kuwa ni mpenzi wangu. Roho inaniuma sana[emoji24][emoji24]
Mwanaume unalia kisa kiburudisho, Wakati viburudisho vipo vya kutosha au huwataki kina MwaJ na Tatu.Kama kawaida ya urafiki wangu na watu wangu wa karibu, hatuna tabia ya kutambulishana wapenzi wetu.