Mpenzi wangu katafunwa mbususu kwa ofa ya viatu vya manyoya

Born 1998...

On top of that, JOBLESS..

View attachment 2363009
Kwani mkuu, kuzaliwa 98 ndo inamaanisha sitakiwi kula mbususu? Antonnia ,huyu jamaa hataki nikuchakate mbususu[emoji26][emoji26]

Halafu, kwani ujobless ni wa kudumu katika maisha ya mtu? sleee njoo basi uhuthibitishie umma kuwa one day nitapata pesa zingi tuishi sote ili niachane na huyu aliyepeperushwa kwa viatu vya manyoya[emoji24][emoji24]
 
TAFUTA
Tafuta Hela njoo umuhase kijana atafute hela
 
Huyu ni tofauti na wengine, yeye haniombi ombi pesa ovyo. Mbususu anaileta on time au kabla ya muda
Tatizo lilianzia hapa "haniombi ombi pess hovyo" kwaiyo ulijisahau na kushindwa kujiongeza kumgharamikia ukizani ukimya wake wa kutoomba pesa kwamba hazipendi? Ulijidanganya masta, kuna usemi unasema "usipomgharamikia kuna watakao/wanao mgharamikia" kwahiyo ni makosa yako ya kushindwa kujiongeza.

Anyway dem analiwa kwa only 5k gift WHAT A SHAME..itakuwa ni choka mbaya ama njaa kali, ama ninyi na huyo best ako ni vitoto, imagine unaumia kutoa 5k kwa dem unayeenda kumla lodge?.

Tafuteni sana pesa
 
Mnaenda lini vyuo
Mwezi wa kumi mwishoni, ila mimi nitavuta hadi mwezi wa 11, maake purukushani za first year hapa mwanzoni zinaboa sana, mara Aris3 zisifunguke, dah! Shida tupu mkuu. Huna hata la kunishauri kuhusu huyu binti manyoya?
 

Tafuta pesa na jufunze kumpenda mpenzi wako mpya kwa maneno na kwa matendo zaidi ili utayempata asikose viatu vya manyoya tena

Ishi nae kwa akili😃😃😃

Poleee
 
Aisee[emoji23]
 
Tafuta pesa na jufunze kumpenda mpenzi wako mpya kwa maneno na kwa matendo zaidi ili utayempata asikose viatu vya manyoya tena

Ishi nae kwa akili[emoji2][emoji2][emoji2]

Poleee
Haki ya nani, eti Kelsea ,haya maneno ya mama D ni ya kweli? Kwa hiyo nikipata binti mwingine nimtangulizie viatu vya manyoya Kelsea?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…