Pedrz
Member
- Apr 2, 2021
- 89
- 116
Hii ilishawahi kumtokea rafiki angu kamwita demu wake geto alafu kakuta sms za demu kibao kwenye simu ya mshikaji wake wacha azimie
Sasa hii imetokea kwangu juzi kuna kademu kalikuja geto sasa nilikuwa nimezidiwa kweli ndo maana nilikaita sasa baada ya show
Nimeenda kuoga kurudi kanaanza kuniuliza hizi nguo za kike za nani
Mimi nikamwambia sasa mimi naweza kuvaa nguo za kike unaona !!! Duuuh palepale kakazimia
Sasa hili mm najiuliza ni desturi ya hawa mademu kuzimia au shida ni ip?