Mpenzi wangu kazimia gheto nifanyeje?

Mpenzi wangu kazimia gheto nifanyeje?

Hili linabidi nilifanyie kazi mkuu [emoji91][emoji91] wanatuchezea akili hawa au na sisi tuwe tunazimia nn [emoji848][emoji848]
Ha ha haa,jamaa unavituko balaa
 
Kama demu huna mpango naye sana huna haja ya kumleta getto. Unaweza kuja kuchoma getto lako take care. Demu wa kuchapa tu malizana naye lodge hatakusumbuaa. Lakini getto anaweza kuja hata kulilia mlangoni umemuonea Polisi wakakuchukua take care
Ila kwel hapa kinachotusumbua ni cost tuuh za lodge ila hii point kwel
 
Back
Top Bottom