nimeanza mahusiano na huyu dada kama mwezi mmoja sasa. Mwanzoni nilidhani labda ana mafua so nikahisi hali hii itakwisha soon,but naona kama ndivyo alivyo.
Je kunaa njia ya kumsaaidia japo ipungue kidogo maana nakua uncomfortable nnapoongea nae au nnapokula uroda anatoa miguno kama dume vile.
Ushauri wenu tafadhali.