mpenzi wangu mpya ana bonge la besi

mpenzi wangu mpya ana bonge la besi

Mwambie aachane na miguno yake ya kinjembanjemba inakupunguzia steam ya kuchakarika kwenye sita kwa sita ikiwezekana awe kimya na mnapoongea mwambie achakachue sauti yake ili isiwe kama ya njemba.

nimeanza mahusiano na huyu dada kama mwezi mmoja sasa. Mwanzoni nilidhani labda ana mafua so nikahisi hali hii itakwisha soon,but naona kama ndivyo alivyo.
Je kunaa njia ya kumsaaidia japo ipungue kidogo maana nakua uncomfortable nnapoongea nae au nnapokula uroda anatoa miguno kama dume vile.
Ushauri wenu tafadhali.
 
Back
Top Bottom