Mpenzi wangu mpya anakimbia shoo kwa kutoa visingizio

Mpenzi wangu mpya anakimbia shoo kwa kutoa visingizio

Ni wiki ya pili sasa niko naishi na mpenzi wangu mpya ndani ya nyumba moja, pika nipakue; mwanzoni kabla ya kuja aliniahidi kutoa shoo kabambe kila siku, na alipofika siku za mwanzo alikuwa akitoa shoo kabambe, mpaka kidume nikasema kimoyo moyo hapa kweli nimepata mke.

Sasa tangu juzi, amekuwa ananikwepa kwepa kwa shoo; nikienda chumbani, yeye anaenda jikoni anajifanya yuko bize na usafi, Nikimfuata kwenye sofa ananyanyuka na kwenda kujiweka bize na vitu vingine.

Muda wa kulala ukifika, atajifanya anaosha vyombo ili nipitiwe na usingizi, na kuja kulala kimya kimya saa nane za usiku. Yote ni kutokutaka kupelekewa moto.

Ghafla mida hii wakati natoka chumbani, tukakutana kolidoni, ikabidi nimkumbatie, na kumuuliza kwa nini unanikwepa kwepa? Akanijibu,'' umezidisha sana kunipelekea moto, utaniua mtoto wa watu; kama inawezekana tuwe tunapumzika angalau kila baada ya siku mbili''.

Nikabaki namtazama tu usoni, ingawa sikuweza kumjibu; na mimi kuvumilia kila baada ya siku mbili naona ni mateso sana.

Hapa nilipo bado natafakari; Je huyu ananipenda kweli?​
Wewe wanawake wana siku za hatari hebu kuwa mature na wewe
 
Kuna dada mchana alilalamika anapewa kimoja na mpenzi wake mwenye kitambi nadhani huyo itabidi myajenge Amehlo shosti hebu nistulie yule mdada
😀😀😀 ataweza kuvumilia moto wa kuni, mwambie sio moto wa gesi huu
 
Back
Top Bottom