Bavarian8
JF-Expert Member
- Oct 20, 2018
- 656
- 1,447
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lipia tangazoNi wiki ya pili sasa niko naishi na mpenzi wangu mpya ndani ya nyumba moja, pika nipakue; mwanzoni kabla ya kuja aliniahidi kutoa shoo kabambe kila siku, na alipofika siku za mwanzo alikuwa akitoa shoo kabambe, mpaka kidume nikasema kimoyo moyo hapa kweli nimepata mke.
Sasa tangu juzi, amekuwa ananikwepa kwepa kwa shoo; nikienda chumbani, yeye anaenda jikoni anajifanya yuko bize na usafi, Nikimfuata kwenye sofa ananyanyuka na kwenda kujiweka bize na vitu vingine.
Muda wa kulala ukifika, atajifanya anaosha vyombo ili nipitiwe na usingizi, na kuja kulala kimya kimya saa nane za usiku. Yote ni kutokutaka kupelekewa moto.
Ghafla mida hii wakati natoka chumbani, tukakutana kolidoni, ikabidi nimkumbatie, na kumuuliza kwa nini unanikwepa kwepa? Akanijibu,'' umezidisha sana kunipelekea moto, utaniua mtoto wa watu; kama inawezekana tuwe tunapumzika angalau kila baada ya siku mbili''.
Nikabaki namtazama tu usoni, ingawa sikuweza kumjibu; na mimi kuvumilia kila baada ya siku mbili naona ni mateso sana.
Hapa nilipo bado natafakari; Je huyu ananipenda kweli?
Ushauri mkuuLipia tangazo
Hii ni dhambi mkuu
Weka risiti namba hapa ya kulipia tangazo kisha nakupa ushauriUshauri mkuu
😀😀😀😀😀pambanaNjoo uokoe jahazi huku
🤣🤣🤣Ukute uwongo tu hana hata huo umwamba,maana shogaangu Unique Flower alisema anamjua huyu Ni mbabu kizee😀😀😀😀😀ngoja nimuite aje ili apelekewe moto vizuri na mwamba Equation x
Sawa wazee wenzangu🤣🤣🤣Ukute uwongo tu hana hata huo umwamba,maana shogaangu Unique Flower alisema anamjua huyu Ni mbabu kizee
Daah wazee wa kataa ndoa wakiona hii kwisha kazi..huyu anachapwa nje ...ujue mda wote anakuwa ana donda baada ya kumegwa..au anajiandaa kwenda kumegwa...na inawezekana anayemchapa anamdhuru sana ...mithili ya kuogopa kuunganisha mechi za nyumbani na ugenini...huyo ukilazimisha lazima ukute amelegea k....mi mwezi wa pili huu namega mke wa mtu...na anapoenda kwa mmewe hampi k kabisa..maana nakuwa nimemdhuru k ipasavyo..anaugulia kabisa...na mara ya mwisho kabla ya ramadhani amenipa nyuma nimemega hadi kanya....huyu kafika kwa mmewe akiwa mgonjwa kabisa...nimekutana nae hataki hata kuniabgalia...nasubiria mfungo uishe najua atanitafta atakapowashwa...
Siku mbili?Ni wiki ya pili sasa niko naishi na mpenzi wangu mpya ndani ya nyumba moja, pika nipakue; mwanzoni kabla ya kuja aliniahidi kutoa shoo kabambe kila siku, na alipofika siku za mwanzo alikuwa akitoa shoo kabambe, mpaka kidume nikasema kimoyo moyo hapa kweli nimepata mke.
Sasa tangu juzi, amekuwa ananikwepa kwepa kwa shoo; nikienda chumbani, yeye anaenda jikoni anajifanya yuko bize na usafi, Nikimfuata kwenye sofa ananyanyuka na kwenda kujiweka bize na vitu vingine.
Muda wa kulala ukifika, atajifanya anaosha vyombo ili nipitiwe na usingizi, na kuja kulala kimya kimya saa nane za usiku. Yote ni kutokutaka kupelekewa moto.
Ghafla mida hii wakati natoka chumbani, tukakutana kolidoni, ikabidi nimkumbatie, na kumuuliza kwa nini unanikwepa kwepa? Akanijibu,'' umezidisha sana kunipelekea moto, utaniua mtoto wa watu; kama inawezekana tuwe tunapumzika angalau kila baada ya siku mbili''.
Nikabaki namtazama tu usoni, ingawa sikuweza kumjibu; na mimi kuvumilia kila baada ya siku mbili naona ni mateso sana.
Hapa nilipo bado natafakari; Je huyu ananipenda kweli?
Sanaa, hivi unatakiwa kulipa kodi, school fees, bima ya afya na gari, ujenzi, vibomu wazazi na ndugu, michango harusi na misiba na mengine meengi.. utawaza mbususu kila saa?? Hapana kwa kweli
Vumbi la kongo anatengenezea togwa anakunywa. Mwili mzima unakuwa wa moto na hupelekea kukata moto kabla hata hajaachana na ujana🤣🤣🤣🤣Ukute uwongo tu hana hata huo umwamba,maana shogaangu Unique Flower alisema anamjua huyu Ni mbabu kizee
Nadhani majibu ya swali hili unayo... isipokuwa unataka uthibitisho ambao hutaupata...Hivi kaka upo under 18?
Tulia anakuja na mafile mudaSawa wazee wenzangu
Kha🤣🤣🤣🤣🤣Kumbe wanakunywa togwa la vumbi?huku Sasa Ni kuuanaVumbi la kongo anatengenezea togwa anakunywa. Mwili mzima unakuwa wa moto na hupelekea kukata moto kabla hata hajaachana na ujana🤣
Hivi kweli mbususu inaweza kukomolewa kwa style hiyo?Tulia anakuja na mafile muda
Kha🤣🤣🤣🤣🤣Kumbe wanakunywa togwa la vumbi?huku Sasa Ni kuuana
Wewe utakuwa ulisikiliza vizuri ulipokuwa jandoni, endelea kuwaelekeza vizuri Vijana tafadhali...Hivi kweli mbususu inaweza kukomolewa kwa style hiyo?
Mwanamke anahitaji tender touch na care ili kumkomoa.
Vijana wanajimaliza sana wakidhani moto wa kuupeleka kwa mwanamke ndo kumfikisha. Mwanamke anaweza kufikia mshindo hata kwa kumuwaza mwsndani wake anayemgusa kona zote za hisia zake.
Konyo sana vijana wa siku hizi
Unadhani wanasikia basi?Wewe utakuwa ulisikiliza vizuri ulipokuwa jandoni, endelea kuwaelekeza vizuri Vijana tafadhali...