Mpenzi wangu mpya anakimbia shoo kwa kutoa visingizio

dah aisee
 
Sanaa, hivi unatakiwa kulipa kodi, school fees, bima ya afya na gari, ujenzi, vibomu wazazi na ndugu, michango harusi na misiba na mengine meengi.. utawaza mbususu kila saa?? Hapana kwa kweli
Ukipangilia vizuri, hakuna shida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…