Mpenzi wangu ni mvivu sana

We jidanganye....mwanamke yoyote yule ana sifa za kuolewa..... BINADAMU awez kukosa vyote na kupata vyote..... Ye huyo kaka kama awez kumuoa basi ataolewa kwingine.... Pia unaweza kukuta huyo unaesema ni wa kumla tu mbususu yeye ndo akawa anakukula ww[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hii dunia bn
 
Wanawake wavivu wengi wanakuwaga na mashine tamu sana yani hadi maamuzi magumu yanakuwa kipengele bora kaja kujifariji huku kwa wazalendo 😂😂😂
Basi avumilie tu huo uvivu wake huku akiendelea kufurahia hiyo mashine tamu
 
Ngono ni ziada sana kwenye ndoa. Hapo jamaa hana mwanamke kbsa na akimuoa basi atapata tabu sana.
Nilikuwa na wa hivyo nikapiga chini mapema. Demu yeye ni kuangalia muvi na kusikiliza muziki tu hata kufanya usafi hapana.
Kwa nini yeye ndo akufanyie usafi.... Kipindi unachafua ndani ulichafua na yeye?!
 
Wanawake wapo wa aina mbili
1. Wenye sifa ya kuolewa (Wife material)
2. Ambao hawana sifa ya kuolewa (Siyo wifi material)
Jidanganye binti kuwa ukiliwa mbususu umeolewa. Kuna wanawake wapo kwa ajili ya starehe tu. Ndiyo maana humu kuna wanawake wanatoa nyuzi za kuhitaji wanaume wa kuwaoa. Mtu kagonga 33 hata dalili ya mume hana.
 
Ww ndo jidanganye wife material ulimuona wapi.... Hivi unawajua wanawake vzuri anaweza kua wife material mbele ya macho yako lkn hujui moyoni anatarget zipi.... Wanawake wote ni wife material sema inategemea yupo na nani na anahitaji nin... Kua makin utaliwa[emoji849]
 
Wanawake walio Soma wengi wao chenga tupu.

Kuna huyo nilipiga nae chuo tulivyo tawanyika mtaani nilituta wazo la kuajiliwa na kujiajiri . Mungu saidia kaofisi kaka onesha mafanikio.

Basi huyu Dada ni mzuri na anajua kuvaa haswa na ameokoka kweli. Baada ya kuzunguka huko na huku kuomba ajira Basi miaka ikakatika na hakuna ajira aliyo pata. Basi akawa ameomba kuja kushinda hapa kwenye kaofisi kangu . Nikampa go ahead.

Huyu Dada kifupi ni mchafu hatari na haoni aibu utamnunulia chakula mchana akimaliza ndio imetoka hivyo atataguna stick za meno ataziacha hapo hapo kwenye meza atachukua tishu atajifuta atatupa tu sehemu anayo itaka .... Na hata siku moja labda ajistukie tu afute fute vumbi hata kinafki tu hakuna.

Ilifika sehemu nikajuta kumkaribisha ...alafu vitu vidogo Kama hivi kumuelekeza Dada wa miaka 30+ ni aibu jaman tuache utani. Na vinaboa hatari.

Mtoa mada hapo hapana mke ..huyo mwanamke wa kumkumbusha vitu vidogo Kama hivyo sio mke huyo ni kipozeo au mchepuko yaani ni spesho kwa mipigo tu
 
Kuolewa siyo kazi rahisi kama unavyofikiri. Siyo kila mwanamke ni wife material. Haijalishi yupo na nani? Endelea kwenda kwa jamaa, ukifika angalia muvi, sikiliza muziki na ukichoka lala. Ukijipa matumaini atakuoa. Utasubiri sana.
Kuna baadhi ya Wanawake wanakasumba kama yako wanasema hawezi kufanya usafi mpaka aolewe.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] makubwa tena haya hapa shughuli ya kisomo inahitajika
 
Tafuta house girl msome tabia mpandishe cheo ni wachapa kazi, alafu wanambolea hatari ukipanda mbegu inaota chap...
 
Nishakutana na wanawake wa kuangalia movie, kusikiliza muziki na kulala. Sijamuoa hata mmoja na hawajaolewa mpk leo. Unafikiri mwanaume akikuhitaji kingono basi atakuoa. Muulize Unique Flower atakujibu
Utapigwa mashine, anapewa namba rafiki yake naye anapiga. Chain inaendelea
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] makubwa tena haya hapa shughuli ya kisomo inahitajika
 
Kama ni wa mazoezi, hakuna shida; ila kama unataka awe mke, umepotea, tafuta mwingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…