Lovelovie
JF-Expert Member
- Oct 2, 2021
- 12,582
- 26,053
We jidanganye....mwanamke yoyote yule ana sifa za kuolewa..... BINADAMU awez kukosa vyote na kupata vyote..... Ye huyo kaka kama awez kumuoa basi ataolewa kwingine.... Pia unaweza kukuta huyo unaesema ni wa kumla tu mbususu yeye ndo akawa anakukula ww[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hii dunia bnTuna wanawake wa kula mbususu na wa kuwaoa. Ukiona mwanamke anakuja kwako hata kufagia, kuosha vyombo au kukufulia nguo hataki. Yeye ni kulala tu, kuangalia muvi na kusikiliza muziki. Unaweka kundi la kula mbususu maana atakuja kukusumbua sana.
Ila ukiona mwanamke anafanya usafi huyo ni wa kuoa maana anafaa