Mpenzi wangu ni mvivu sana

Mpenzi wangu ni mvivu sana

Kama ana kazi zake na unampenda endelea nae huenda ikawa anachoka na majukumu yake ya kila siku, angekuwa ni jobless ningekushauri upige chini bro

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanawake wavivu wengi wanakuwaga na mashine tamu sana yani hadi maamuzi magumu yanakuwa kipengele bora kaja kujifariji huku kwa wazalendo 😂😂😂
Hivi kuna uhusiano gani hapo maana kama kuna ukweli hivi. Kuna wanawake wenzangu nawajua ni wavivuu mpaka wanaelekea kwenye uchafu ila mahusiano yao/ ndoa zao ni imara wanapendwa haswaa .
 
Hivi kuna uhusiano gani hapo maana kama kuna ukweli hivi. Kuna wanawake wenzangu nawajua ni wavivuu mpaka wanaelekea kwenye uchafu ila mahusiano yao/ ndoa zao ni imara wanapendwa haswaa .
Dah mi hata sielewi Mungu alikusudia nini. Ila kimsingi wanawake wavivu kwa mapenzi wako njema sana coz ndo section ambayo wana nguvu sana na wanaimudu. Mwanamke mvivu 24/7 yupo ready kuliwa mzigo yani huulizi mara 2 we ni kutegwa tu unapewa hadi ubongo unaparalaizi😀
 
Hivi kuna uhusiano gani hapo maana kama kuna ukweli hivi. Kuna wanawake wenzangu nawajua ni wavivuu mpaka wanaelekea kwenye uchafu ila mahusiano yao/ ndoa zao ni imara wanapendwa haswaa .
Kuicha mbususu tamu ni mtihani kwakweli
 
Habarini
Nipo kwenye mahausiano na mdada ila ni mvivu sana analala sanaa na akija kwangu hata kama akikuta mazingira sio rafiki wala hajishugulishi kusafisha kupika mpaka umwambie tangu tumejuana kapika kama mara 3 hv ndani ya miezi mi 5, kufua ndio hajawahi.

Na nilikua nimepanga mwakani tuanze process za kuoana, napata wasiwasi sana kuhusu yeye, kuna mtu ashapitia kitu kama hiki kweli
Wanaume mna mambo mengi sana!
Wewe ukipata mwanamke mcha Mungu, sii mchawi wala mshirikina; tabia nyingine zinarekebishika.

Mnahangaika na tabia zisizo na athari kubwa ndio maana mnarogwa.
Kama hiyo, mbona ya kawaida tu. Wakati mwingine ni makuzi au uchovu tu!
 
Kijana anamis hizi huduma.😄😄
 
Attachments

  • IMG-20220710-WA0011.jpg
    IMG-20220710-WA0011.jpg
    25.2 KB · Views: 11
Mara nyingi ukikuta mwanamke mvivu na mchafu basi anakuwa mchafu kila kitu,najua mengine huwezi kusema...
 
Ngono ni ziada sana kwenye ndoa. Hapo jamaa hana mwanamke kbsa na akimuoa basi atapata tabu sana.
Nilikuwa na wa hivyo nikapiga chini mapema. Demu yeye ni kuangalia muvi na kusikiliza muziki tu hata kufanya usafi hapana.
Ila mchezo si anakupa?

Ama hata mchezoni ni mvivu?
 
Habarini
Nipo kwenye mahausiano na mdada ila ni mvivu sana analala sanaa na akija kwangu hata kama akikuta mazingira sio rafiki wala hajishugulishi kusafisha kupika mpaka umwambie tangu tumejuana kapika kama mara 3 hv ndani ya miezi mi 5, kufua ndio hajawahi.

Na nilikua nimepanga mwakani tuanze process za kuoana, napata wasiwasi sana kuhusu yeye, kuna mtu ashapitia kitu kama hiki kweli
Mhhh hivi kijana kodi si unalipa ww, Ww si ndo umechafua humo ndani, ww si ndo umevuruga humo ndani
Binti ujamuoa ujamtolea mahali unataka aje apike, afue, akudekia hapana sio sawa kabisa
We cha kufanya we safisha tu mwenyewe basi ukiona akufai tafuta tu mwingine
 
Kuoa mwanamke mvivu ni kipaji. Niliyaona kwa jamaa yangu alioa mwanamke mchafu. Ni hatari sana
Kinachotakiwa cha kwanza kwa mwanamke Usafi. Kuwa na mwanamke msafi kuna faida nyingi sana
Wanaume mna mambo mengi sana!
Wewe ukipata mwanamke mcha Mungu, sii mchawi wala mshirikina; tabia nyingine zinarekebishika.

Mnahangaika na tabia zisizo na athari kubwa ndio maana mnarogwa.
Kama hiyo, mbona ya kawaida tu. Wakati mwingine ni makuzi au uchovu tu!
 
Tuna wanawake wa kula mbususu na wa kuwaoa. Ukiona mwanamke anakuja kwako hata kufagia, kuosha vyombo au kukufulia nguo hataki. Yeye ni kulala tu, kuangalia muvi na kusikiliza muziki. Unaweka kundi la kula mbususu maana atakuja kukusumbua sana.
Ila ukiona mwanamke anafanya usafi huyo ni wa kuoa maana anafaa
Mhhh hivi kijana kodi si unalipa ww, Ww si ndo umechafua humo ndani, ww si ndo umevuruga humo ndani
Binti ujamuoa ujamtolea mahali unataka aje apike, afue, akudekia hapana sio sawa kabisa
We cha kufanya we safisha tu mwenyewe basi ukiona akufai tafuta tu mwingine
 
'Kwisha habari yakoo....:

Nilisikia Ngosha fulani akimwambia mwenzako mwenye kesi Kama yako.
 
Back
Top Bottom