Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 40,466
- 88,695
Wewe unampa hela ipasavyo bila kuombwa?Habarini
Nipo kwenye mahausiano na mdada ila ni mvivu sana analala sana na akija kwangu hata kama ak.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe unampa hela ipasavyo bila kuombwa?Habarini
Nipo kwenye mahausiano na mdada ila ni mvivu sana analala sana na akija kwangu hata kama ak.
Mie nampongeza. Labda kama na wewe unawajibika kwake kama mume.Sio mwanafunzi ni mdada ana kazi yake nzuri tu
Mie nampongeza. Labda kama na wewe unawajibika kwake kama mume.
Wanaume wengi mnapenda gf ajishughulishe kazi za mke wakati wao hawawajibiki kama mume.
Anaweza akajipinda weee na mwisho wa siku ndoa akaisikia kwa redio
Ndo hivyo mkuu. Watu wawe serious kutafuta mke/mumeIla wewe
Hakufai huyo!Habarini
Nipo kwenye mahausiano na mdada ila ni mvivu sana analala sana.
Nakazi , afike kwake bila taarifa.2. Mfanyie uchunguzi binafsi- Mu observe anakoishi kwake mazingira yakoje? Kama hujawahi kwenda uende hapo uone kwake kupoje? Sehemu anayokaa mtu mchafu/mvivu huwa inajulikana tu
Hapana,Sio kwamba anataka washing machine?
Na we kuea mvivu🏃🏃🏃🏃Habarini
Nipo kwenye mahausiano na mdada ila ni mvivu sana analala sana na akija kwangu hata kama akikuta mazingira sio rafiki wala hajishugulishi kusafisha kupika mpaka umwambie tangu tumejuana kapika kama mara 3 hivi ndani ya miezi mi 5, kufua ndio hajawahi.
Na nilikua nimepanga mwakani tuanze process za kuoana, napata wasiwasi sana kuhusu yeye, kuna mtu ashapitia kitu kama hiki kweli.
weee haipoo hiyoo ndo unaoaa mwanamkee hata kupika wali hajuii.... VIGEZO vya wife material ajue kupika..awe msafii...awe mzurii 😀 😀 😀Pole sana mkuu..... Ukiongea kuhusu mim unatakiwa ujue kwanza nmeolewa au sijaolewa...... Ukijua moja kati ya hilo unaweza kuamua kusema chochote utakacho sawa shemeji..... Ww kama umeamua kuoa mwanamke ambae kweny uchumba hakukufulia basi ni ww........ Mwanamke kukufulia, kukupikia, sijui kukufanyia nin kabla ya ndoa hyo haitakiwi kabisa...... Kinachotakiwa kufanyika ni huyo binti kufundishwa jinsi na nini cha kumfanyia mume na ni kipi cha kufanya kuitunza familia... Ndo mana kukawa ni kitchen party ndo mana pia kabla ya kitchen party kuna vimambo mwanamke anafundishwa na somo..... Me naona ww ni moja kati ya vijana ambao aukukaa na baba kukufundisha jinsi ya kua mwanaume
Kwako kuchafu hujishughulishi hlf unatak mtoto wa watu akusafishieHabarini