Mpenzi wangu ni mvivu sana

Mpenzi wangu ni mvivu sana

Sio mwanafunzi ni mdada ana kazi yake nzuri tu
Mie nampongeza. Labda kama na wewe unawajibika kwake kama mume.

Wanaume wengi mnapenda gf ajishughulishe kazi za mke wakati wao hawawajibiki kama mume.

Anaweza akajipinda weee na mwisho wa siku ndoa akaisikia kwa redio
 
Ila wewe

Kimsingi tabia zinazodhiiirika wakati wa pre-season how twice as much ndoani.

Hamna mwanamke/mwanaume mkamilifu mtafute yule ambaye uko tayari kuteseka na madhaifu yake.
 
Ashura huyo... Ndo alivyo hivyo hivyo... Anasema anakuwa amechoka na hizo kazi yeye hawezi. Mi nlishindwana naye sababu hiyo hiyo...labda atabadilika mvumilie.
 
Brother ! Never loose what you want for what you admire! Kila kitu ni kipya kwa wakati wake usimcheke bibi kwa kua ana mapengo ila jiulize kitoto kichanga kitaota lini meno?

Hiyo mentality pia ya kwamba mwanamke ndio wa kukufulia ,kukuoshea vyombo ,kukupikia is not fair.Mabadiliko yanaanza na ww mwenyewe ! kama wewe mwenyewe haujijali unategemea nani akujali?

unakaa mahala pa chafu'haufui nguo zako,vyombo hauoshi unategemea some one aje afanye hiyo kazi ur gone! Any way tabia yake hiyo kwa wadada ambao ni wasomi ni ya kawaida na inarekebishika na unaweza kuihandle kikubwa usitangulize mfumo dume.

Unafikiria ukikimbia tatizo ndio umelitatua? Handle the situation, sometimes ongea nae as friend, as a lover then muweke mambo sawa ukiona habadiliki basi muhukumu, huwezi jua huenda hajazoea maisha hayo nk.kila mtu ana tabia yake mshukuru mungu umejua ya mwenza wako mapema.USIMUACHE KAMA UNAMPENDA.

Sent from my TECNO BD4j using JamiiForums mobile app
 
Sio kwamba anataka washing machine?
Hapana,
Anataka aende kwenye stage nyingine ambayo ni kumuoa...so kwa hizo dalili za uvivu ni kiashiria tosha kuwa ni asili yake, tunajua wanawake wanachoka sana na kuwa wavivu kipindi wanapojifungua na kupata watoto.
Imagine hiyo hali hajapata mtoto , what if ameolewa na kupata watoto?

Dalili ya mvua ni mawingu.
 
Habarini

Nipo kwenye mahausiano na mdada ila ni mvivu sana analala sana na akija kwangu hata kama akikuta mazingira sio rafiki wala hajishugulishi kusafisha kupika mpaka umwambie tangu tumejuana kapika kama mara 3 hivi ndani ya miezi mi 5, kufua ndio hajawahi.

Na nilikua nimepanga mwakani tuanze process za kuoana, napata wasiwasi sana kuhusu yeye, kuna mtu ashapitia kitu kama hiki kweli.
Na we kuea mvivu🏃🏃🏃🏃
 
Pole sana mkuu..... Ukiongea kuhusu mim unatakiwa ujue kwanza nmeolewa au sijaolewa...... Ukijua moja kati ya hilo unaweza kuamua kusema chochote utakacho sawa shemeji..... Ww kama umeamua kuoa mwanamke ambae kweny uchumba hakukufulia basi ni ww........ Mwanamke kukufulia, kukupikia, sijui kukufanyia nin kabla ya ndoa hyo haitakiwi kabisa...... Kinachotakiwa kufanyika ni huyo binti kufundishwa jinsi na nini cha kumfanyia mume na ni kipi cha kufanya kuitunza familia... Ndo mana kukawa ni kitchen party ndo mana pia kabla ya kitchen party kuna vimambo mwanamke anafundishwa na somo..... Me naona ww ni moja kati ya vijana ambao aukukaa na baba kukufundisha jinsi ya kua mwanaume
weee haipoo hiyoo ndo unaoaa mwanamkee hata kupika wali hajuii.... VIGEZO vya wife material ajue kupika..awe msafii...awe mzurii 😀 😀 😀
 
Habarini

Nipo kwenye mahausiano na mdada ila ni mvivu sana analala sana na akija kwangu hata kama akikuta mazingira sio rafiki wala hajishugulishi kusafisha kupika mpaka umwambie tangu tumejuana kapika kama mara 3 hivi ndani ya miezi mi 5, kufua ndio hajawahi.

Na nilikua nimepanga mwakani tuanze process za kuoana, napata wasiwasi sana kuhusu yeye, kuna mtu ashapitia kitu kama hiki kweli.
Kwako kuchafu hujishughulishi hlf unatak mtoto wa watu akusafishie
 
Back
Top Bottom