Mpenzi wangu simuelewi

Mpenzi wangu simuelewi

Anza na wewe kuflirt na mkaka handsome wa hapo kazini tena ikibidi mwambie naomba nikukodi kwa week mbili tu ili aisome namba ukiona hatikisiki jua upo kwenye mapenzi ya kuonewa huruma wala hustahili kukaa na huyo mshenzi.
MAPENZI YAKIKUSHINDA JARIBU HATA KUBET
 
Jamani tuwe makini sana na vitu kama hivi,
Unaweza kujikuta unaingia kwenye matatizo bila kupenda na ndio shida ya watanzania wengi na inatuponza sana.
Unakuta mtu yupo seriously kabisa anasoma comment yangu badala andike ya kwake [emoji28]
cheki huyu nae mambo ya Facebook anayaleta huku,wala hata haichekeshi.shenzi kabsa
 
Back
Top Bottom