Mimi ni kijana wa miaka 25 nina mpenzi wangu ambae tumekua na mahusiano kwa kipindi cha miaka sita sasa yeye pia ana umri sawa na mimi lakini amenizidi miezi kadhaa
Tumekua na mahusiano ambayo tumekua tunaishi kwa kusaidiana kwa jambo lolote lile
Mwenzangu alibahatika kupata kazi mapema baada ya kumaliza chuo lakini kwangu haikua hvo bado nipo napambana na shughuli zangu binafsi za biashara.
Mwanzo wakati shughuli zangu zinaenda vizuri hakukua na shida lakini baada ya yeye kupata nafasi sehemu nyingne ambayo wamekua wanamlipa vizuri tofauti na laipokua mwanzo ndipo nayeye mambo yakaanza kubadilika kwake
Amekua ni mtu ambae hapendi nijue ratiba zake wala kile anachoingiza kwa mwezi hali ambayo mwanzo haikuwepo
Naombeni ushauri wakuu juu ya hili
Asanteni 🙏