Mpenzi wangu tangu amepata kazi amebadilika sana. Amekua hapendi nijue ratiba zake

Mpenzi wangu tangu amepata kazi amebadilika sana. Amekua hapendi nijue ratiba zake

Hahahah aanze upya hio age ni ya moto sana labda kama anataka atombe tu. Its very risky kufanya plan na demu wa age 18-24 huwa wanabadilika sana sababu wako kwenye foolish age.

14-18 anagongwa na wanafunzi na watoto wenzie wa mtaani.

18-21 demu anagongwa na wahuni au mabishoo walamba lips wale msingi kiuno.

22-24 anagongwa na adults plus agemates na wenye vipato.

25 and above anatafta mtu wa kufanya future nae kutoka kwenye kundi lililokuwa linamkaza kwenye 22-24.
Ana muda mzuri atafute pesa tu mengine yatajipa yenyewe. Wanawake atachagua mwenyewe na kuamua yupi atatengeneza naye future.
 
🤣🤣🤣🤣🤣Hivi nyie wavulana bado tu hamuelew,,,,,rafiki yako na ndugu yako ni mamako mzazi pekee!!!!Sasa nyie ndo wale mnajisahau mnajipendekeza kwa walimwengu.Mwenzako aliingia kwenye mahusiano akiwa SMART.Wewe ukatanguliza moyo badala ya akili,mwishoni unajikuta umefanya uwekezaji mkubwa zaidi wa kimalengo na wa kihisia zaidi ya mwenzako.

Anza kujipambanua upya upange mipango upya uoni jinsi gani unajinasua kwenye huo mtego. Huyo msichana ameshaanza kumtafuta wa hadhi yake, wewe ulikuwa wa kumpa kampani😄😄😄 na ukajisahau ukachonga mzinga.

Stuka na uamke hapo kajitafute ukizipata, ndo uanze kuwaza utapeli unaitwa MAPENZI.
 
Kwanini unajipa depression zisizo za lazima?? Si umuache uendelee na maisha yako?? Sema binadamu tupo tofauti sana aisee kwa upande wangu mimi kitakachonisumbua ni kukosa hela peke yake na sio kingine! Mwanume jitangulize wewe kabla ya mtu yeyote! Tafuta amani ya moyo, Tafuta hela, Vaa vizuri, Nukia vizuri! Attract don’t chase! Wanawake ni sefish sana mkuu they will always put themselves before anyone else🙌🏽🙌🏽
Umemaliza.
Maisha ni mafupi, enjoy your days
 
Huyo amesha kuacha hata tukikushauri haita saidia alikuja na mikakati ili umvushe kipindi ambacho hakuwa na kipato.
 
Back
Top Bottom