JimmyKB
JF-Expert Member
- Feb 27, 2014
- 413
- 564
🤣 Umenichekesha sana maana leo nilikuwa nafikiria hilo tangazo. Jamaa anaongea vizuri anamvuto tatizo tangazo linajirudia rudia mpaka Kero😂Haichukui nafasi ya daktari
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣 Umenichekesha sana maana leo nilikuwa nafikiria hilo tangazo. Jamaa anaongea vizuri anamvuto tatizo tangazo linajirudia rudia mpaka Kero😂Haichukui nafasi ya daktari
Binti za namna hii mimba siyo issue, zinaichomoa tu wa si tatizoUkweli mchungu: Ipo hivi hiyo miaka sita ulokua nae alikuona bwege hivyo alikua anakutumia wewe kama daraja la yeye kufanikiwa / kufikia kile anacho kitaka kwa kukuigizia kuwa anakupenda na yupo na wewe. sasa ameshakipata kile alichokua anakitaka sahivi wewe siyo type yake tena hivyo anatafuta njia ya kukuacha kistaarabu ili usiumie au anatengeneza mazingira wewe ujiongeze, ila njia rahisi fanya hivi kabla hajakupiga chini, wewe muwahi kwa kumpiga chini haraka sana tumia mbinu ya kumute.
Ila kama amekula hela zako mingi unataka kufuta machozi , na kama unaweza (ila sahivi haiwezekani tena jaribu wewe ni mwanaume) tafuta namna umpe mimba alafu uachane nae na usiwe na huruma nae hata kidogo.
fafanua hili mkuuAisee...imebidi niruke comments zote...hii kitu ilishawahi kunitokea mkuu...siku si nyingi simu yake itaanza kutumika sana,,halafu hatakuwa anahangaika kukutafuta.
Huyo mtoa mada si mume bali ni mchumba sugu tu.Dogo tulia
Mwanamke mwenye uhakika wa mshahara hawezi kuishi na mume.
Haiwezekani.
Ukiona mwanamke mwenye uhakika wa mshahara wa kukidhi mahitaji yake yote anaishi na mwanaume ujue hapo anafake tu
Ushauri: Mwache haraka kabla hajakutamkia yeye hadharani au kukutumia kadi ya mwaliko wa hharusi.
Kashakalia seat ya Crown Athlete ya HR na kupelekwa viwanja vya Masaki ufukweni kupata dinner. Kashakuwa matawi ya juu hapo anamuona kijana wetu kama bumunda tu😄.Kwa kesi ya huyo jamaa etu hapo ashaachwa ni vile mwanamke kamwacha katika style ya asimuumize ili jamaa akiona redflag ajiongeze kusepa ila jamaa hajaelewa. Hapo huyo demu wake ashamuona jamaa sio type yake tena, kamuona ni mzigo na ni wakihasara hasara. Demu sahivi anaangalia juu na siyo chini tena alipo jamaa etu.
😂😂😂😂😂😂 Kibuti cha design hio huwa kinaumiza sana meehn. It will take a while kwa jamaa kuamini kuwa kashatoswa and he will cry hard like a baby! Hamna kitu inauma kama mwanamke anakuacha kwa sababu uko broke, ni fedhea kinoma.Anakushangaa miaka 6 bado unashobokea mapenzi
Move on man
Huyo kapata mwingine anakutafutia sababu tu
😂😂😂😂😂😂 Jamaa ulimkata stimu kinoma huyo dogo.Huu uzi umenikumbasha jumapili usiku kama saa sita usiku number mpya, salamu nyingi alafu anauliza umelala, nikajibu naanika nguo nikakata na kuweka Airplane
Asubuhi anapiga tena simu ananiliuza kuna dada anaitwa flani unamjua, ndio
Bro huyu demu wangu,
Nikamuuliza umemuo au kumtolea mahari?
Dogo;hapana
Nikamuuliza nimemlamisha au kumbaka
Dogo;hapana
Nikamwambia mdogo wangu nakupa ushauri huu
1. Usimpende mwanamke kuliko anavyokupenda
2. Tafuta demu wa size yako (unayemmudu sio kwa fedha, bali controlling)
3. Jifunze kuwa mwanaume, tengeneza maisha acha kulilia mademu
Mleta mada hata wewe huo ushauri hapo juu unakufaa
Wewe ni dhaifu sana
Hawa watu mnawaonea na kuwasingizia,imeniuma sana.😅Kashakalia seat ya Crown Athlete ya HR na kupelekwa viwanja vya Masaki ufukweni kupata dinner.
Usijipe stress na mambo yasiyokua na msingi,kama anarudi nyumbani shukuru!Mimi ni kijana wa miaka 25 nina mpenzi wangu ambae tumekua na mahusiano kwa kipindi cha miaka sita sasa yeye pia ana umri sawa na mimi lakini amenizidi miezi kadhaa
Tumekua na mahusiano ambayo tumekua tunaishi kwa kusaidiana kwa jambo lolote lile
Mwenzangu alibahatika kupata kazi mapema baada ya kumaliza chuo lakini kwangu haikua hvo bado nipo napambana na shughuli zangu binafsi za biashara.
Mwanzo wakati shughuli zangu zinaenda vizuri hakukua na shida lakini baada ya yeye kupata nafasi sehemu nyingne ambayo wamekua wanamlipa vizuri tofauti na laipokua mwanzo ndipo nayeye mambo yakaanza kubadilika kwake
Amekua ni mtu ambae hapendi nijue ratiba zake wala kile anachoingiza kwa mwezi hali ambayo mwanzo haikuwepo
Naombeni ushauri wakuu juu ya hili
Asanteni 🙏
Kijana nipe namba yako ya simu, inayopatikana....Mimi ni kijana wa miaka 25 nina mpenzi wangu ambae tumekua na mahusiano kwa kipindi cha miaka sita sasa yeye pia ana umri sawa na mimi lakini amenizidi miezi kadhaa
Tumekua na mahusiano ambayo tumekua tunaishi kwa kusaidiana kwa jambo lolote lile
Mwenzangu alibahatika kupata kazi mapema baada ya kumaliza chuo lakini kwangu haikua hvo bado nipo napambana na shughuli zangu binafsi za biashara.
Mwanzo wakati shughuli zangu zinaenda vizuri hakukua na shida lakini baada ya yeye kupata nafasi sehemu nyingne ambayo wamekua wanamlipa vizuri tofauti na laipokua mwanzo ndipo nayeye mambo yakaanza kubadilika kwake
Amekua ni mtu ambae hapendi nijue ratiba zake wala kile anachoingiza kwa mwezi hali ambayo mwanzo haikuwepo
Naombeni ushauri wakuu juu ya hili
Asanteni 🙏
Hahahah aanze upya hio age ni ya moto sana labda kama anataka atombe tu. Its very risky kufanya plan na demu wa age 18-24 huwa wanabadilika sana sababu wako kwenye foolish age.20-21 ndio size yake
Sasa analiaje kisa demu amabye hata uchumba hamna, ilibidi nimsaidie kwa njia ngumu😁😂😂😂😂😂😂 Jamaa ulimkata stimu kinoma huyo dogo.
😝😝😝Dogo akomae men wengi tumepitia humo humo kuachwa kwa sababu ni broke,tulipomaliza shule tukarudi mtaa😂😂😂😂😂😂 Kibuti cha design hio huwa kinaumiza sana meehn. It will take a while kwa jamaa kuamini kuwa kashatoswa and he will cry hard like a baby! Hamna kitu inauma kama mwanamke anakuacha kwa sababu uko broke, ni fedhea kinoma.
Ndio wachafuzi wa awali wa chupi za dada zenu walioajiriwa umatumbiniHawa watu mnawaonea na kuwasingizia,imeniuma sana.😅
Si kweli,mbona nimepitia huko na sikuwa na hiyo tabia kabisa!!!!!Ndio wachafuzi wa awali wa chupi za dada zenu
Ndio wapi tena hapa??umatumbini
Ila wanachotufanyia wanawake siku hizi ni dhuluma za wazi.Huyo mtoa mada si mume bali ni mchumba sugu tu.
Kikubwa ieleweke mwanamke ni opportunistic in nature. Huwa anakaa kwa mwanamume kwa mahesabu kuwa siku moja atatoboa ili aoleww aanze kutumbua maisha. Ikitokea yeye akaanza kutoboa kabla yako that means you are going to be useless to her and she will definately dump you. Hawezi kuendelea kutulia na wewe ili ule hela yake japo ya kwako mlikula wote hawanaga uvumilivu katika hilo.
Another way round ni akitokea mtu ambaye anaona ana muelekeo tayari akamu approach jua chances za wewe kuendelea kum hold ni hafifu mno. Utapigwa chini tu sababu kuna umri ukifika mwanamke anaanza kufikiria mume familia na watoto and mostly ni kati ya ages 24-28 ndani ya hio miaka pressure ni kali sana na akitokea mwenye nia huwa hafikiriwagi mara mbili.
Uchumi imara ndio silaha kamili ya mwanaume katika zama za leo. Money makes the world go round. Money brings power and respect.
Shida umri miaka 6 mpo kweny uzinz du ubarikiweDaaa!!! Pole sana Jamaa
Naomba kuuliza ivi shida ni mapenzi au wanawake?