Mpenzi wangu tangu amepata kazi amebadilika sana. Amekua hapendi nijue ratiba zake

Dogo karibu ukubwani, nafikiri Sasa kupitia hili tukio ndio utaanza kuwajua wanawake katika uhalisia wao na jinsi wanavyokuchukulia wewe mwanaume.

Wewe mwanaume kwa mwanamke siku zote ni disposable utility tu, yaani umuhimu wako kwake ni wa temporary tu.....

Atakuwa na wewe na kuheshimu kwa muda ule anaonufaika na wewe, na siku ikitokea ameweza kuafford mwenyewe kile anachonufaika kutoka kwako, basi umuhimu wako kwake utakuwa ndio umefika mwisho na ndio muda sahihi wa yeye kukutupa kwenye dustbin kama ambavyo anatupa tissue aliyojifutia uchi baada ya kumaliza kukojoa.

Dogo wanawake wana kitu kimoja kinaitwa HYPERGEMY unakijua??
Hapana bro
 
Mkaushie,usiwe unamtafuta labda aanze yeye,je utaweza???
Kingine usimpigie simu apige yeye...
Sasa uwe kama huna muda naye pia ajue ya kuwa unaweza ishi bila yeye...Usimuombe hela...Kiufupi jitenge naye na kama ukiweza tafuta mwingine akupoze machungu...

Mwanamke kadri unavyomshobokea ndio unampoteza,kuwa kauzu,asipokutafuta na wewe kausha,najua unamtafutaga sana so anakuona Boya...

Ishi humo yafanyie kazi hayo utakuja na mrejesho
 
Mimi ni kijana wa miaka 25 nina mpenzi wangu ambae tumekua na mahusiano kwa kipindi cha miaka sita sasa yeye pia ana umri sawa na mimi lakini amenizidi miezi kadhaa

Tumekua na mahusiano ambayo tumekua tunaishi kwa kusaidiana kwa jambo lolote lile

Mwenzangu alibahatika kupata kazi mapema baada ya kumaliza chuo lakini kwangu haikua hvo bado nipo napambana na shughuli zangu binafsi za biashara.

Mwanzo wakati shughuli zangu zinaenda vizuri hakukua na shida lakini baada ya yeye kupata nafasi sehemu nyingne ambayo wamekua wanamlipa vizuri tofauti na laipokua mwanzo ndipo nayeye mambo yakaanza kubadilika kwake

Amekua ni mtu ambae hapendi nijue ratiba zake wala kile anachoingiza kwa mwezi hali ambayo mwanzo haikuwepo

Naombeni ushauri wakuu juu ya hili

Asanteni 🙏
Msaidieni mtoto wa 1999, Hawa madogo hawana tofauti na watoto wa 2000.
 
Tafta dem mwingne wa kuzuga naye halaf mkaushie mkausho,wala usimwonyeshe kama umehisi kitu strange au kuumia.Wakat huohuo jitahid kutembelea sana jf ktk mada za mapenz, fuatilia koments za seniors utajifunza mengi kuhusu wanawake.
 
Mimi ni kijana wa miaka 25 nina mpenzi wangu ambae tumekua na mahusiano kwa kipindi cha miaka sita sasa yeye pia ana umri sawa na mimi lakini amenizidi miezi kadhaa

Tumekua na mahusiano ambayo tumekua tunaishi kwa kusaidiana kwa jambo lolote lile

Mwenzangu alibahatika kupata kazi mapema baada ya kumaliza chuo lakini kwangu haikua hvo bado nipo napambana na shughuli zangu binafsi za biashara.

Mwanzo wakati shughuli zangu zinaenda vizuri hakukua na shida lakini baada ya yeye kupata nafasi sehemu nyingne ambayo wamekua wanamlipa vizuri tofauti na laipokua mwanzo ndipo nayeye mambo yakaanza kubadilika kwake

Amekua ni mtu ambae hapendi nijue ratiba zake wala kile anachoingiza kwa mwezi hali ambayo mwanzo haikuwepo

Naombeni ushauri wakuu juu ya hili

Asanteni 🙏
Huyo si mpenzi wako..mlianza kufanya matusi mkiwa na umri wa miaka 19,sasa atakua kapata mpenzi wake. Kaa tulia,tafuta pesa ili nawe upate mpenzi wako.
 
Mimi ni kijana wa miaka 25 nina mpenzi wangu ambae tumekua na mahusiano kwa kipindi cha miaka sita sasa yeye pia ana umri sawa na mimi lakini amenizidi miezi kadhaa

Tumekua na mahusiano ambayo tumekua tunaishi kwa kusaidiana kwa jambo lolote lile

Mwenzangu alibahatika kupata kazi mapema baada ya kumaliza chuo lakini kwangu haikua hvo bado nipo napambana na shughuli zangu binafsi za biashara.

Mwanzo wakati shughuli zangu zinaenda vizuri hakukua na shida lakini baada ya yeye kupata nafasi sehemu nyingne ambayo wamekua wanamlipa vizuri tofauti na laipokua mwanzo ndipo nayeye mambo yakaanza kubadilika kwake

Amekua ni mtu ambae hapendi nijue ratiba zake wala kile anachoingiza kwa mwezi hali ambayo mwanzo haikuwepo

Naombeni ushauri wakuu juu ya hili

Asanteni 🙏
kama uko serious naye nenda ukaoe ili kieleweke, lakini hiyo ya kujidai mume na mke siyo ya uhalisia. Kwa nini akupe ratiba zake au mshahara wake wakati hakuna committment?

Fikiria vizuri ili upange mipango inayoeleweka
 
Kua na mwanamke aliekuzidi/mko sawa nae kiumri na mapenzi yenu mliyaanza kipindi mko na 18-25 yrs, mkikuakua mara nyingi mademu huanza kuleta ngebe kwa kuona wewe ni mtoto, haatahili kua na ww, sijui atazeeka na ww utakua bado kijana, atataka mtoto/kuolewa mapema kabla hujajipanga, inshort huwa ni pasua kichwa.
Mkuu mwanamke tofauti na Mwanaume yeye Mwanamke akifikisha miaka zaidi 26 anataka mwanaume mwenye uwezo ili awed naye na hapo hakuna cha umri ndiyo maana wana date na watu wazima wenye vipato, tofauti na Binti kunzia miaka 17 mpaka 23 wao utaka mpenzi sharobalo avae vizur, lakini akishavuka hiyo steji utaka mwanaume anayeweza kumuhudumia kwa kila kitu na Mwanaume wenye uwezo huo wengi wao wanakua waume za watu na watu wazima, Vijana wengi chini ya miakq 33 bado wanajitafuta siyo rahisi kumlipia Kila kitu mpenzi wake. Binti atatakq simu ya laki 9 kijana hana uwezo huo, lakini mume wa mtu utawalisha dagaa familia yake ili mchepuko anunuliwe simu ya laki 9.
 
Mimi ni kijana wa miaka 25 nina mpenzi wangu ambae tumekua na mahusiano kwa kipindi cha miaka sita sasa yeye pia ana umri sawa na mimi lakini amenizidi miezi kadhaa

Tumekua na mahusiano ambayo tumekua tunaishi kwa kusaidiana kwa jambo lolote lile

Mwenzangu alibahatika kupata kazi mapema baada ya kumaliza chuo lakini kwangu haikua hvo bado nipo napambana na shughuli zangu binafsi za biashara.

Mwanzo wakati shughuli zangu zinaenda vizuri hakukua na shida lakini baada ya yeye kupata nafasi sehemu nyingne ambayo wamekua wanamlipa vizuri tofauti na laipokua mwanzo ndipo nayeye mambo yakaanza kubadilika kwake

Amekua ni mtu ambae hapendi nijue ratiba zake wala kile anachoingiza kwa mwezi hali ambayo mwanzo haikuwepo

Naombeni ushauri wakuu juu ya hili

Asanteni 🙏
Huwa nawaambi wanangu kuwa demu wako wa high school au chuo sio wako hiyo ni wa wengine huwezi kuoa. Kwa nini hamsikii. Demu wako wewe inawezekana tupo second year sasa. Hiyo muache tu dogo. Ni ushauri kama ulivyoomba.
 
Mimi ni kijana wa miaka 25 nina mpenzi wangu ambae tumekua na mahusiano kwa kipindi cha miaka sita sasa yeye pia ana umri sawa na mimi lakini amenizidi miezi kadhaa

Tumekua na mahusiano ambayo tumekua tunaishi kwa kusaidiana kwa jambo lolote lile

Mwenzangu alibahatika kupata kazi mapema baada ya kumaliza chuo lakini kwangu haikua hvo bado nipo napambana na shughuli zangu binafsi za biashara.

Mwanzo wakati shughuli zangu zinaenda vizuri hakukua na shida lakini baada ya yeye kupata nafasi sehemu nyingne ambayo wamekua wanamlipa vizuri tofauti na laipokua mwanzo ndipo nayeye mambo yakaanza kubadilika kwake

Amekua ni mtu ambae hapendi nijue ratiba zake wala kile anachoingiza kwa mwezi hali ambayo mwanzo haikuwepo

Naombeni ushauri wakuu juu ya hili

Asanteni 🙏
Kataa ndoa
 
Ni fedha zake na wewe sio mmewe,huna haki nae,we fata yako achana nae
 
Drazz huyo binti sio saizi yako mdogoangu. Utapasuka kichwa. Usiweke malengo nae, we jiweke tu ila akizingua usimind. We vitu vyako vipo tulia acha mawenge
 
Back
Top Bottom