mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Wewe mpakie mkongo.mengine hayo achana nayo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimba hizi hizi wanatoa usiku, asubuhi wanaenda kutoa Mix by yasHuyo teyari sio wake ashaachwa ni vile haelewi ( wanasemaga anakuacha kimnya kimnya ili asikuumize) shida jamaa hataki kujiongeza au kufanya timing amjaze mimba alafu amtelekeze demu akajifunze mbele ya safari.
Ni wanawake wachache sana wanaofanikiwa na kubaki na hali ile ile ya heshima kwa wenza wao, wengi hubadilika.Umemaliza kaka
Tayari mtumbwi wake ushapigwa na wimbi bado kuzama tu, mwamba awe makini akiendekeza hisia atajisababishia maumivu makubwa sana.Huyo teyari sio wake ashaachwa ni vile haelewi ( wanasemaga anakuacha kimnya kimnya ili asikuumize) shida jamaa hataki kujiongeza au kufanya timing amjaze mimba alafu amtelekeze demu akajifunze mbele ya safari.
Nimependa wazo lako maana hivihivi inauma sana ila kama miaka 6 hajampa mimba hatamuweza kwa sasa.Ukweli mchungu: Ipo hivi hiyo miaka sita ulokua nae alikuona bwege hivyo alikua anakutumia wewe kama daraja la yeye kufanikiwa / kufikia kile anacho kitaka kwa kukuigizia kuwa anakupenda na yupo na wewe. sasa ameshakipata kile alichokua anakitaka sahivi wewe siyo type yake tena hivyo anatafuta njia ya kukuacha kistaarabu ili usiumie au anatengeneza mazingira wewe ujiongeze, ila njia rahisi fanya hivi kabla hajakupiga chini, wewe muwahi kwa kumpiga chini haraka sana tumia mbinu ya kumute.
Ila kama amekula hela zako mingi unataka kufuta machozi , na kama unaweza (ila sahivi haiwezekani tena jaribu wewe ni mwanaume) tafuta namna umpe mimba alafu uachane nae na usiwe na huruma nae hata kidogo.
Hamna hela michezo, kikoba, kausha dam mara mchezo wa kyupi yote hiyo ni hela, mnazipelekaga wapi? Dipresheni hizoHela gani? Hatuna hela sisi.
Mwanamke anaweza kukupenda ,ila akipata wakumuoa anakuacha....Tuseme TU komaa kujijenga zaidi kwa sasa huna chakoMimi ni kijana wa miaka 25 nina mpenzi wangu ambae tumekua na mahusiano kwa kipindi cha miaka sita sasa yeye pia ana umri sawa na mimi lakini amenizidi miezi kadhaa
Tumekua na mahusiano ambayo tumekua tunaishi kwa kusaidiana kwa jambo lolote lile
Mwenzangu alibahatika kupata kazi mapema baada ya kumaliza chuo lakini kwangu haikua hvo bado nipo napambana na shughuli zangu binafsi za biashara.
Mwanzo wakati shughuli zangu zinaenda vizuri hakukua na shida lakini baada ya yeye kupata nafasi sehemu nyingne ambayo wamekua wanamlipa vizuri tofauti na laipokua mwanzo ndipo nayeye mambo yakaanza kubadilika kwake
Amekua ni mtu ambae hapendi nijue ratiba zake wala kile anachoingiza kwa mwezi hali ambayo mwanzo haikuwepo
Naombeni ushauri wakuu juu ya hili
Asanteni 🙏
Hatuna hela jamani🤣🤣Hamna hela michezo, kikoba, kausha dam mara mchezo wa kyupi yote hiyo ni hela, mnazipelekaga wapi? Dipresheni hizo
Na msiwe nazo tu, hatuziwazi hizo hela zenu ambazo hamnaga kila siku.Hatuna hela jamani🤣🤣
Wazee wa mishangazi!!🙆♂️🙆♂️🙆♂️Na msiwe nazo tu, hatuziwazi hizo hela zenu ambazo hamnaga kila siku.
Nilikuwa very close na shangazi mmoja yupo vizuri kiuchumi, kabla hatujaangukia kwenye madavidavi ya dipresheni alikuwa anajitoa sana ila tulivyozama tu ghafla akawa hana hata mia. Bebi zikaanza kuwa nyingi 😐
Mshangazi si ni alienizidi umri? Kati ya miaka mingapiWazee wa mishangazi!!🙆♂️🙆♂️🙆♂️
Dipresheniiiiii!Mshangazi si ni alienizidi umri? Kati ya miaka mingapi
Everywhere 😂Dipresheniiiiii!
MPENZI AMA MPIGAJI? HAPO HUNA MPENZI LABDA MALAYAMimi ni kijana wa miaka 25 nina mpenzi wangu ambae tumekua na mahusiano kwa kipindi cha miaka sita sasa yeye pia ana umri sawa na mimi lakini amenizidi miezi kadhaa
Tumekua na mahusiano ambayo tumekua tunaishi kwa kusaidiana kwa jambo lolote lile
Mwenzangu alibahatika kupata kazi mapema baada ya kumaliza chuo lakini kwangu haikua hvo bado nipo napambana na shughuli zangu binafsi za biashara.
Mwanzo wakati shughuli zangu zinaenda vizuri hakukua na shida lakini baada ya yeye kupata nafasi sehemu nyingne ambayo wamekua wanamlipa vizuri tofauti na laipokua mwanzo ndipo nayeye mambo yakaanza kubadilika kwake
Amekua ni mtu ambae hapendi nijue ratiba zake wala kile anachoingiza kwa mwezi hali ambayo mwanzo haikuwepo
Naombeni ushauri wakuu juu ya hili
Asanteni 🙏