Mpenzi wangu tangu amepata kazi amebadilika sana. Amekua hapendi nijue ratiba zake

Ni mwanamke........hahahahha! Mimi naona presha kuna wakati tunaztafuta wenyewe, kwann utake kujua mambo ambayo si ya msingi muhimu anakuheshimu hizo ratba na pesa zake si za muhimu. Asimame kama mwanaume na si kulalamika, huenda nina mtazamo tofauti lkn kwangu ni hivyo.
Kwa kesi ya huyo jamaa etu hapo ashaachwa ni vile mwanamke kamwacha katika style ya asimuumize ili jamaa akiona redflag ajiongeze kusepa ila jamaa hajaelewa. Hapo huyo demu wake ashamuona jamaa sio type yake tena, kamuona ni mzigo na ni wakihasara hasara. Demu sahivi anaangalia juu na siyo chini tena alipo jamaa etu.
 
...yeye pia ana umri sawa na mimi lakini amenizidi miezi kadhaa
Hili ni tatizo. Hata Eva (a.k.a Hawa) hakuumbwa kabla ya Adam. Hapo umeingia cha kike, anakuona dogo.

Pili ni mpunga. Mwanamke anayekuzidi kipato ni vigumu sana kukuelewa. Ukute tayari ana mwamba anayempa lifti kwenye ndinga halafu wewe hata baiskeli huna. Anakuona kero na kuhisi utamzibia riziki!
 
Mimi ni kijana wa miaka 25 nina mpenzi wangu ambae tumekua na mahusiano kwa kipindi cha miaka sita sasa yeye pia ana umri sawa na mimi lakini amenizidi miezi kadhaa

Tumekua na mahusiano ambayo tumekua tunaishi kwa kusaidiana kwa jambo lolote lile

Mwenzangu alibahatika kupata kazi mapema baada ya kumaliza chuo lakini kwangu haikua hvo bado nipo napambana na shughuli zangu binafsi za biashara.

Mwanzo wakati shughuli zangu zinaenda vizuri hakukua na shida lakini baada ya yeye kupata nafasi sehemu nyingne ambayo wamekua wanamlipa vizuri tofauti na laipokua mwanzo ndipo nayeye mambo yakaanza kubadilika kwake

Amekua ni mtu ambae hapendi nijue ratiba zake wala kile anachoingiza kwa mwezi hali ambayo mwanzo haikuwepo

Naombeni ushauri wakuu juu ya hili

Asanteni 🙏
Tafuta wa 18 yrs uànze upya.
 
Hayo mambo ya kujua ratiba zake na income yake unatengeneza vita kali sana. Achana na hayo mambo focus kwenye kutafuta pesa yako. Piga kazi kwa bidii kijana.
 
Ni mwanamke........hahahahha! Mimi naona presha kuna wakati tunaztafuta wenyewe, kwann utake kujua mambo ambayo si ya msingi muhimu anakuheshimu hizo ratba na pesa zake si za muhimu. Asimame kama mwanaume na si kulalamika, huenda nina mtazamo tofauti lkn kwangu ni hivyo.
Wewe umewakilisha wanawake wote jinsi mlivyo. Pesa yenu haipaswi kuwa yaa mwanaume na ya mwanaume ni lazima iwe yenu na mjue anapata kiasi gani.
 
Huu uzi umenikumbasha jumapili usiku kama saa sita usiku number mpya, salamu nyingi alafu anauliza umelala, nikajibu naanika nguo nikakata na kuweka Airplane
Asubuhi anapiga tena simu ananiliuza kuna dada anaitwa flani unamjua, ndio
Bro huyu demu wangu,
Nikamuuliza umemuo au kumtolea mahari?
Dogo;hapana
Nikamuuliza nimemlamisha au kumbaka
Dogo;hapana
Nikamwambia mdogo wangu nakupa ushauri huu
1. Usimpende mwanamke kuliko anavyokupenda
2. Tafuta demu wa size yako (unayemmudu sio kwa fedha, bali controlling)
3. Jifunze kuwa mwanaume, tengeneza maisha acha kulilia mademu

Mleta mada hata wewe huo ushauri hapo juu unakufaa
Wewe ni dhaifu sana
 
Mimi ni kijana wa miaka 25 nina mpenzi wangu ambae tumekua na mahusiano kwa kipindi cha miaka sita sasa yeye pia ana umri sawa na mimi lakini amenizidi miezi kadhaa

Tumekua na mahusiano ambayo tumekua tunaishi kwa kusaidiana kwa jambo lolote lile

Mwenzangu alibahatika kupata kazi mapema baada ya kumaliza chuo lakini kwangu haikua hvo bado nipo napambana na shughuli zangu binafsi za biashara.

Mwanzo wakati shughuli zangu zinaenda vizuri hakukua na shida lakini baada ya yeye kupata nafasi sehemu nyingne ambayo wamekua wanamlipa vizuri tofauti na laipokua mwanzo ndipo nayeye mambo yakaanza kubadilika kwake

Amekua ni mtu ambae hapendi nijue ratiba zake wala kile anachoingiza kwa mwezi hali ambayo mwanzo haikuwepo

Naombeni ushauri wakuu juu ya hili

Asanteni 🙏
Dada amebadilika kuliko zuwena😅
 
Kwa upande wangu si lazma saana kujua anachokipata au anachoingiza mtu mwingne kwa kigezo "tupo kweny mahusiano", kama ulivyosema mpo kwenye mahusiano na si wanandoa. Tafuta na ww kipato chako na uwe na ratba zako.........mimi binafsi linapokuja swala la pesa sipend saana kuingiliwa mimi nina mipango yangu na pesa zangu nina maono na ndoto zangu juu ya pesa zangu sasa mtu anapokuja na kutaka kujua ninachoingiza kwa kweli anakuwa ananikosea, yangu ni hayo kwa sasa.
Tushawazoea chenu chenu na wanaume ni cha kwenu.

Ushauri mfupi tu kwa jamaa amwache mwanzo mgumu, ila baada ya miezi michache atazoea,kwani ni hatari kuishi na kiumbe ambacho chenye moyo wa ubinafsi.
 
Mimi ni kijana wa miaka 25 nina mpenzi wangu ambae tumekua na mahusiano kwa kipindi cha miaka sita sasa yeye pia ana umri sawa na mimi lakini amenizidi miezi kadhaa

Tumekua na mahusiano ambayo tumekua tunaishi kwa kusaidiana kwa jambo lolote lile

Mwenzangu alibahatika kupata kazi mapema baada ya kumaliza chuo lakini kwangu haikua hvo bado nipo napambana na shughuli zangu binafsi za biashara.

Mwanzo wakati shughuli zangu zinaenda vizuri hakukua na shida lakini baada ya yeye kupata nafasi sehemu nyingne ambayo wamekua wanamlipa vizuri tofauti na laipokua mwanzo ndipo nayeye mambo yakaanza kubadilika kwake

Amekua ni mtu ambae hapendi nijue ratiba zake wala kile anachoingiza kwa mwezi hali ambayo mwanzo haikuwepo

Naombeni ushauri wakuu juu ya hili

Asanteni 🙏
Mwanamke hakuumbwa kumiliki uchumi. Umenielewa?
 
Back
Top Bottom