Loading failed
JF-Expert Member
- Sep 14, 2023
- 2,603
- 7,501
Kwa kesi ya huyo jamaa etu hapo ashaachwa ni vile mwanamke kamwacha katika style ya asimuumize ili jamaa akiona redflag ajiongeze kusepa ila jamaa hajaelewa. Hapo huyo demu wake ashamuona jamaa sio type yake tena, kamuona ni mzigo na ni wakihasara hasara. Demu sahivi anaangalia juu na siyo chini tena alipo jamaa etu.Ni mwanamke........hahahahha! Mimi naona presha kuna wakati tunaztafuta wenyewe, kwann utake kujua mambo ambayo si ya msingi muhimu anakuheshimu hizo ratba na pesa zake si za muhimu. Asimame kama mwanaume na si kulalamika, huenda nina mtazamo tofauti lkn kwangu ni hivyo.