Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Tukodi gari la matangazo kwa ajili yake.Hawez kuelewa kirahisi hivi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tukodi gari la matangazo kwa ajili yake.Hawez kuelewa kirahisi hivi
Huyo ndio yeye halisi SasaMimi ni kijana wa miaka 25 nina mpenzi wangu ambae tumekua na mahusiano kwa kipindi cha miaka sita sasa yeye pia ana umri sawa na mimi lakini amenizidi miezi kadhaa
Tumekua na mahusiano ambayo tumekua tunaishi kwa kusaidiana kwa jambo lolote lile
Mwenzangu alibahatika kupata kazi mapema baada ya kumaliza chuo lakini kwangu haikua hvo bado nipo napambana na shughuli zangu binafsi za biashara.
Mwanzo wakati shughuli zangu zinaenda vizuri hakukua na shida lakini baada ya yeye kupata nafasi sehemu nyingne ambayo wamekua wanamlipa vizuri tofauti na laipokua mwanzo ndipo nayeye mambo yakaanza kubadilika kwake
Amekua ni mtu ambae hapendi nijue ratiba zake wala kile anachoingiza kwa mwezi hali ambayo mwanzo haikuwepo
Naombeni ushauri wakuu juu ya hili
Asanteni 🙏
You,people sting like bees.No mbambamba,huh?Ukiona unaanza kulalamikia hadi kupigiwa simu, kutumiwa msg, ujue yanafika ukingoni. Mapenzi yakiwepo vitu huwa vinafanyika automatically.
Ukiona mpaka uombe kupigiwa simu, unaanza lalamika hupewi taarifa, yani huenda sasa hivi hata sms zako ni kero kwako. Jiandae kisaikolojia kijana yani hakuna namna na wala usitumie nguvu kujaribu kufikiri utabadilisha chochote.
Utapoteza muda, rasilimali na utaumia sana kwa kujaribu kupingana na mabadiliko yanayokuja.
Mkuu kuna magonjwa tiba yake haina option ya kutibiwa bila kuumia. Kama ni jipu lazima litumbuliwe tu hakuna namna.You,people sting like bees.No mbambamba,huh?
Ungekuwepo hapa kijijini kwetu ningekuambia "egezaktere"!Basi kwa kuwa u-mbali itabidi niandike absolutely!Mkuu kuna magonjwa tiba yake haina option ya kutibiwa bila kuumia. Kama ni jibu lazima litumbuliwe tu hakuna namna.
Yani ndio ukweli. Jamaa hata afanyeje hawezi kuzuia mabadiliko yanayokuja na akiendelea taka kuyazuia atatumia nguvu kubwa na atapoteza focus yake ya maisha mwisho ataumia sana.
Kitaani jua ni kali bidada anaona kivuli na anaona mwana anataka washare pamoja kivuli wakati mti una matawi machache.
Wacha kuanika upumbavu wako hapa! Janaume zina unataka kulelewa na binti?Mimi ni kijana wa miaka 25 nina mpenzi wangu ambae tumekua na mahusiano kwa kipindi cha miaka sita sasa yeye pia ana umri sawa na mimi lakini amenizidi miezi kadhaa
Tumekua na mahusiano ambayo tumekua tunaishi kwa kusaidiana kwa jambo lolote lile
Mwenzangu alibahatika kupata kazi mapema baada ya kumaliza chuo lakini kwangu haikua hvo bado nipo napambana na shughuli zangu binafsi za biashara.
Mwanzo wakati shughuli zangu zinaenda vizuri hakukua na shida lakini baada ya yeye kupata nafasi sehemu nyingne ambayo wamekua wanamlipa vizuri tofauti na laipokua mwanzo ndipo nayeye mambo yakaanza kubadilika kwake
Amekua ni mtu ambae hapendi nijue ratiba zake wala kile anachoingiza kwa mwezi hali ambayo mwanzo haikuwepo
Naombeni ushauri wakuu juu ya hili
Asanteni 🙏
Upo sahihi Sana,ilinikuta hii.Na si kitambo kirefu maji na mafuta vitajitenga. Jiandae kimwili na kiakili,utaona karibia mapicha yooote ya kuumiza. Anza kutafuta kampani mapema (asiwe mpenzi mwingine) itakayokusaidia kupunguza msongo wa mawazo maana huko ndiko unakoelekea.
Moyo ukipenda hata redflag uwa tunazidharau ila hapo kaa tiyari!
Ukweli mchungu: Ipo hivi hiyo miaka sita ulokua nae alikuona bwege hivyo alikua anakutumia wewe kama daraja la yeye kufanikiwa / kufikia kile anacho kitaka kwa kukuigizia kuwa anakupenda na yupo na wewe. sasa ameshakipata kile alichokua anakitaka sahivi wewe siyo type yake tena hivyo anatafuta njia ya kukuacha kistaarabu ili usiumie au anatengeneza mazingira wewe ujiongeze, ila njia rahisi fanya hivi kabla hajakupiga chini, wewe muwahi kwa kumpiga chini haraka sana tumia mbinu ya kumute.Mimi ni kijana wa miaka 25 nina mpenzi wangu ambae tumekua na mahusiano kwa kipindi cha miaka sita sasa yeye pia ana umri sawa na mimi lakini amenizidi miezi kadhaa
Tumekua na mahusiano ambayo tumekua tunaishi kwa kusaidiana kwa jambo lolote lile
Mwenzangu alibahatika kupata kazi mapema baada ya kumaliza chuo lakini kwangu haikua hvo bado nipo napambana na shughuli zangu binafsi za biashara.
Mwanzo wakati shughuli zangu zinaenda vizuri hakukua na shida lakini baada ya yeye kupata nafasi sehemu nyingne ambayo wamekua wanamlipa vizuri tofauti na laipokua mwanzo ndipo nayeye mambo yakaanza kubadilika kwake
Amekua ni mtu ambae hapendi nijue ratiba zake wala kile anachoingiza kwa mwezi hali ambayo mwanzo haikuwepo
Naombeni ushauri wakuu juu ya hili
Asanteni 🙏
Huyo teyari sio wake ashaachwa ni vile haelewi ( wanasemaga anakuacha kimnya kimnya ili asikuumize) shida jamaa hataki kujiongeza au kufanya timing amjaze mimba alafu amtelekeze demu akajifunze mbele ya safari.Huyo ndio yeye halisi, mwanzoni kabla ya kupata alichopata alikuwa anakuigizia. Sio kwa ubaya ila kaa kijanja jiandae lolote linaweza tokea kwa dalili hizo.
Kingine mkuu usiipigie hesabu na matumizi fedha ambayo sio yako, hela ya mwanamke ni chungu sana pambana ujiimarishe kiuchumi huyo muda wowote anakuwa sio wako.
Unataka kifuatilia ratiba ya mtu na mpenz wake ya nini🤣🤣🤣🤣🤣😭😭Mimi ni kijana wa miaka 25 nina mpenzi wangu ambae tumekua na mahusiano kwa kipindi cha miaka sita sasa yeye pia ana umri sawa na mimi lakini amenizidi miezi kadhaa
Tumekua na mahusiano ambayo tumekua tunaishi kwa kusaidiana kwa jambo lolote lile
Mwenzangu alibahatika kupata kazi mapema baada ya kumaliza chuo lakini kwangu haikua hvo bado nipo napambana na shughuli zangu binafsi za biashara.
Mwanzo wakati shughuli zangu zinaenda vizuri hakukua na shida lakini baada ya yeye kupata nafasi sehemu nyingne ambayo wamekua wanamlipa vizuri tofauti na laipokua mwanzo ndipo nayeye mambo yakaanza kubadilika kwake
Amekua ni mtu ambae hapendi nijue ratiba zake wala kile anachoingiza kwa mwezi hali ambayo mwanzo haikuwepo
Naombeni ushauri wakuu juu ya hili
Asanteni 🙏
unarahisisha sana mkuu unaijua miaka 6?Achana naye. Mostly mapenzi ya chuo huwa yanaisha mkirudi kitaa halafu we mwanaume mambo yakawa magumu mwanamke apate asipate mwisho huwa anatafuta penye unafuu. Sasa hivi yeye ana kazi, anakutana na vijana wenye kazi, wewe ushakuwa mzigo. Achana naye anza kujitafuta.
Asipo elewa na hii basi.Ukiona unaanza kulalamikia hadi kupigiwa simu, kutumiwa msg, ujue yanafika ukingoni. Mapenzi yakiwepo vitu huwa vinafanyika automatically.
Ukiona mpaka uombe kupigiwa simu, unaanza lalamika hupewi taarifa, yani huenda sasa hivi hata sms zako ni kero kwake. Jiandae kisaikolojia kijana yani hakuna namna na wala usitumie nguvu kujaribu kufikiri utabadilisha chochote.
Utapoteza muda, rasilimali na utaumia sana kwa kujaribu kupingana na mabadiliko yanayokuja.
Mkuu wewe ni mwanaume.. ?kama ni mwanaume jamaa etu ashaachwa hapo kikubwa tumuambie ukweli ili asije akajinyonga mapemaKwa upande wangu si lazma saana kujua anachokipata au anachoingiza mtu mwingne kwa kigezo "tupo kweny mahusiano", kama ulivyosema mpo kwenye mahusiano na si wanandoa. Tafuta na ww kipato chako na uwe na ratba zako.........mimi binafsi linapokuja swala la pesa sipend saana kuingiliwa mimi nina mipango yangu na pesa zangu nina maono na ndoto zangu juu ya pesa zangu sasa mtu anapokuja na kutaka kujua ninachoingiza kwa kweli anakuwa ananikosea, yangu ni hayo kwa sasa.
Umemaliza kakaHuyo ndio yeye halisi, mwanzoni kabla ya kupata alichopata alikuwa anakuigizia. Sio kwa ubaya ila kaa kijanja jiandae lolote linaweza tokea kwa dalili hizo.
Kingine mkuu usiipigie hesabu na matumizi fedha ambayo sio yako, hela ya mwanamke ni chungu sana pambana ujiimarishe kiuchumi huyo muda wowote anakuwa sio wako.