Mpenzi wangu tangu amepata kazi amebadilika sana. Amekua hapendi nijue ratiba zake

Huo ndio ukuaji ndugu mtoa mada, Hapa mutaongea yote na kumaliza kwa kumshauri bwana mtoa mada ila unfortunately hawezi akasikia wala kuelewa kwasasa.

What happens next ndio kitakujenga na kukufunza ila kwasasa naona wote humu ndani wanapiga kelele.

It has to be this way and no way out.
 
Mimi ni kijana wa miaka 25 nina mpenzi wangu ambae tumekua na mahusiano kwa kipindi cha miaka sita sasa yeye pia ana umri sawa na mimi lakini amenizidi miezi kadhaa

Tumekua na mahusiano ambayo tumekua tunaishi kwa kusaidiana kwa jambo lolote lile

Mwenzangu alibahatika kupata kazi mapema baada ya kumaliza chuo lakini kwangu haikua hvo bado nipo napambana na shughuli zangu binafsi za biashara.

Mwanzo wakati shughuli zangu zinaenda vizuri hakukua na shida lakini baada ya yeye kupata nafasi sehemu nyingne ambayo wamekua wanamlipa vizuri tofauti na laipokua mwanzo ndipo nayeye mambo yakaanza kubadilika kwake

Amekua ni mtu ambae hapendi nijue ratiba zake wala kile anachoingiza kwa mwezi hali ambayo mwanzo haikuwepo

Naombeni ushauri wakuu juu ya hili

Asanteni 🙏
R.I.P in advance,chukua mchepuko fasta sababu utaibika very soon buda,in those days hii mambo haikuwepo,tafuta spare part kuziba puncture.
 
Mimi ni kijana wa miaka 25 nina mpenzi wangu ambae tumekua na mahusiano kwa kipindi cha miaka sita sasa yeye pia ana umri sawa na mimi lakini amenizidi miezi kadhaa

Tumekua na mahusiano ambayo tumekua tunaishi kwa kusaidiana kwa jambo lolote lile

Mwenzangu alibahatika kupata kazi mapema baada ya kumaliza chuo lakini kwangu haikua hvo bado nipo napambana na shughuli zangu binafsi za biashara.

Mwanzo wakati shughuli zangu zinaenda vizuri hakukua na shida lakini baada ya yeye kupata nafasi sehemu nyingne ambayo wamekua wanamlipa vizuri tofauti na laipokua mwanzo ndipo nayeye mambo yakaanza kubadilika kwake

Amekua ni mtu ambae hapendi nijue ratiba zake wala kile anachoingiza kwa mwezi hali ambayo mwanzo haikuwepo

Naombeni ushauri wakuu juu ya hili

Asanteni

Tukodi gari la matangazo kwa ajili yake.
Dem miaka sita bilq kumpiga uzembe
 
Umenikumbusha bana kuna manzi mmoja wa kawaida sana, mwaka jana kawa employed in JWTZ, kuna day napita maeneo nasikia anaongea na simu kwa kufoka, kumbe anamfokea jamaa yake kuwa sasa ivi nina kazi yangu na napata mshahara, kwahiyo tulia...
 
Mimi ni kijana wa miaka 25 nina mpenzi wangu ambae tumekua na mahusiano kwa kipindi cha miaka sita sasa yeye pia ana umri sawa na mimi lakini amenizidi miezi kadhaa

Tumekua na mahusiano ambayo tumekua tunaishi kwa kusaidiana kwa jambo lolote lile

Mwenzangu alibahatika kupata kazi mapema baada ya kumaliza chuo lakini kwangu haikua hvo bado nipo napambana na shughuli zangu binafsi za biashara.

Mwanzo wakati shughuli zangu zinaenda vizuri hakukua na shida lakini baada ya yeye kupata nafasi sehemu nyingne ambayo wamekua wanamlipa vizuri tofauti na laipokua mwanzo ndipo nayeye mambo yakaanza kubadilika kwake

Amekua ni mtu ambae hapendi nijue ratiba zake wala kile anachoingiza kwa mwezi hali ambayo mwanzo haikuwepo

Naombeni ushauri wakuu juu ya hili

Asanteni 🙏
Akufukuzae hakwambii toka! Jiongeze kijana.
 
Kwanini unajipa depression zisizo za lazima?? Si umuache uendelee na maisha yako?? Sema binadamu tupo tofauti sana aisee kwa upande wangu mimi kitakachonisumbua ni kukosa hela peke yake na sio kingine! Mwanume jitangulize wewe kabla ya mtu yeyote! Tafuta amani ya moyo, Tafuta hela, Vaa vizuri, Nukia vizuri! Attract don’t chase! Wanawake ni sefish sana mkuu they will always put themselves before anyone else🙌🏽🙌🏽
 
Mnaambiwa mkiachwa muachike - yaani vitu vingine siyo mpaka ubadikiwe bango. Mwenzako kashapata mtu wa type yake hapo kazini kwake - lunch kama zote - ha ha ha pole ( kaza roho).
 
Pole sana kaka Ninakushauri vitu viwili kama sio vitatu

Kwanza nikupongeze kwa kuamua kushare maumivu yako na sisi, kuliko kukaa nayo moyoni, lakini pia hapa duniani Kila kitu kina mwanzo na mwisho. Hakuna kitu kinadumu milele upo hapo?

👉1.achana Huyu mwanamke, kuambiwa skutaki au muda wako imeisha sio mpaka, uambiwe kwa mdomo
👉2.fanya kazi save hela zako, tafuta kabinti ka form four failure, au darasa la saba, hao matumizi yao sio makubwa

👉3.toa akili yako huko maana naamini mapenzi yanaweza kukufanya ukapunguza ufanisi wa kazi

Ushauri wa kijinga Mwisho, muombe mechi Ila usipgie "k" jifanye umekosea tundu la nyuma piga hicho kinyeo🤣kidombe kwa hasira Alafu achana nae
Umenza vizuri kama mtu mwenye busara zake mjini ila ulivyomaliza sasa😂🙌🏽! Mimi nikiwa kwenye mahusiano mwanamke simjali wala kumpenda kupitiliza! The more you care the more it will hurt!
 
Mzee tafuta pesa.. Tafuta hela.. Tafuta fedha... Utanishukuru badae yeye muache Tena nawe usijishuulishe nae yani take it easy kama vile afanyavyo Sawa. Ila jua tuu huyo si wako Tena.
 
Umenza vizuri kama mtu mwenye busara zake mjini ila ulivyomaliza sasa😂🙌🏽! Mimi nikiwa kwenye mahusiano mwanamke simjali wala kumpenda kupitiliza! The more you care the more it will hurt!
🤣Nilitaka kumfanya jamaa atoe mood baya kichwan
 
ndo maana tunawaambia vijana kabla ya kuingia kwenye ndoa Muwe mnamwomba Mungu kwanza mpate mme na mke mwema. Haya yote yasingekua yanatokea
 
Mimi ni kijana wa miaka 25 nina mpenzi wangu ambae tumekua na mahusiano kwa kipindi cha miaka sita sasa yeye pia ana umri sawa na mimi lakini amenizidi miezi kadhaa

Tumekua na mahusiano ambayo tumekua tunaishi kwa kusaidiana kwa jambo lolote lile

Mwenzangu alibahatika kupata kazi mapema baada ya kumaliza chuo lakini kwangu haikua hvo bado nipo napambana na shughuli zangu binafsi za biashara.

Mwanzo wakati shughuli zangu zinaenda vizuri hakukua na shida lakini baada ya yeye kupata nafasi sehemu nyingne ambayo wamekua wanamlipa vizuri tofauti na laipokua mwanzo ndipo nayeye mambo yakaanza kubadilika kwake

Amekua ni mtu ambae hapendi nijue ratiba zake wala kile anachoingiza kwa mwezi hali ambayo mwanzo haikuwepo

Naombeni ushauri wakuu juu ya hili

Asanteni [emoji120]
Mkuu hata hapa unahitaji ushauri.

Uzuri hujamuoa, sijasikia kama mmebahatika kupata mtoto, ACHANA NAE bado mapema mdogo wangu ,huo umri wako bado nimdogo usijigie moyo kuwa ataja badirika mbeleni
 
Back
Top Bottom