Mpenzi wangu wa kwanza amerudi

Mpenzi wangu wa kwanza amerudi

Mubby777

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2018
Posts
1,628
Reaction score
5,681
Aisee haya maisha hata hayana maana sijui na mke wangu anawatafutaga ma ex zake iv [emoji24][emoji24]

Kuna binti kitambo kdg alikuwa nesi nikaenda akanitibu tukawa na mazoea kias chake Mimi nafanya biashara akataka niwe.

namfundisha Ukarb ukawa mkubwa atlast nikamtongoza na akaingia line.

Alinisumbua kupiga but atlast nilipiga na kukuta akiwa na usichana wake.

Niwe mkweli me at that time nikikiwa kijana so ujana mwimgi na wanawake wengi hivyo sikumtilia maanani

Baada ya miez kadhaa kuna jamaa akaanza kumitafuta nimwachie dem wake.

Nilipomuuliza akadai huyo ni mpenz wake tangu shule ya msingi/sec mpk chuo ila walikubalia a hakuna sex mpk ndoa. Akadai hampend tena hisia zote ziko kwangu hawez kuwa nae.

Yule jamaa nikamweleza ukweli alichemka kumuacha dem kwa kigezo mpk ndoa ni uboya jamaa akawa kazi kunibembeleza nimuachie.

Yule jamaa akawaeleza wazaz wake wakapeleka barua ya posa kwa dem wazaz waipomuita akakataa ana mtu wake wakamwambia amlete Alipokuja kunambia nikamwambia ukweli bado sijapanga kuoa kwa mwaka huo Tukaendelea na mahusiano huku akiwakatalia wazaz kuolewa na yule jamaa na ukwelo alinipenda sana Jamaa na wazaz wakawasiliana walipe mahali.

Rafik zake binti tunajuana wakanifata na kuniomba kiungwana kama sina nia na binti basi nimwache aolewe.

Nikaamua kuwa mstaarabu nikamblock kila sehem na kuhama nilipokuwa naishi asinipate.

Kazin nikaacha kuwa naenda zaid ya kukagua hesabu na stockbasi.

Akaolewa

Imepita miaka sita sasa tangu aolewe sina mawasiliano nae wala sijuu lolote kuhusu yeye.

2week ago akanitafuta na kunambia ameota nina matatizo ni kweli nilikuwa na matatizo nikamweleza akasema anaamkaga usiku anapuga goti kuniombea.

Kuanzia hapi mawasiliano yamerud ila sio ya kimapenz maana kaolewa na me nimeoa

Sasa leo ameomba tuchat akaamua kufunguka hayupo happy na ndoa yake ingawa jamaa hamkosei kitu.

Ananiota sana sometime mpk tunasex. Anadai amepambana sana kumpenda jamaa ameshindwa. Jamaa yuko serious na maisha hana muda wa utan/umbea wala kufanya ujinga ujinga.

Dem anadai amemis ucheshi(tulikuwa na mazoea sana always kutukanana mbwa,msenge, we fala, matako wewe) niseme tulikuwaga free sana.

Anadai hayuko free na mtu wake hawez hata kumweleza akiwa na shida.

Anadai amegoma kubeba mimba ya pili maana haoni kama ile ndoa ni sahihu kwake. Haenjoy sex.

Anaomba japo tuwe tunasex hata mara moja kwa mwezi na kushinda wote siku nzima ili aenjoy zile happy moment.

Nimepata kigugumizi kukubali maana najiuliza au mke wangu nae ana ex wake ambaye wakibond iv wanatianaga?
 
Mkuu usijifanye shujaa kwa kila mwanamke, utaharibu ndoa yako.

Fikiria mke wako nae kwa kila X wake ambae hana raha awe anamsaidia, itakuaje?

Sent from my SM-J260F using JamiiForums mobile app

Umesoma na kuelewa kweli?

Kuna sehem nimejifanya shujaa au kutaka kuharb ndoa au namshangaa huyu huku nikijiuliza yawezekana mke wangu nae yanamkuta
 
Ukikuta siyo sealed,ujue anatoa kila akitakwa na aliyemkuta yuko sealed.
 
Umesoma na kuelewa kweli? Kuna sehem nimejifanya shujaa au kutaka kuharb ndoa au namshangaa huyu huku nikijiuliza yawezekana mke wangu nae yanamkuta
Mkuu wote watu wazima hapa, unapoandika jambo, tunaweza smell what is behind your words.

Ushujaa wako unaanza kwenye "mawasiliano yamerudi" na nina hakika mnawasiliana kwa kuibia sababu mnajua its Wrong.

Na kama unavyojua mahusiano au kuchepuka kunaanza na mawasiliano kama hayo yenu, na kwa kadri unavyomsikiliza shida za ndoa yake, ndivyo utavyojikuta unatamani kumsaidia kwa namna moja au nyingine (ushujaa)

Na mkeo atakapojua ndipo utaelewa nini maana ya kuharibu ndoa.

Ni hayo tu.Kama nimekuelewa vibaya, usijali sisi wengine vichwa vigumu.

Sent from my SM-J260F using JamiiForums mobile app
 
Mkuu wote watu wazima hapa, unapoandika jambo, tunaweza smell what is behind your words.

Ushujaa wako unaanza kwenye "mawasiliano yamerudi" na nina hakika mnawasiliana kwa kuibia sababu mnajua its Wrong.

Na kama unavyojua mahusiano au kuchepuka kunaanza na mawasiliano kama hayo yenu, na kwa kadri unavyomsikiliza shida za ndoa yake, ndivyo utavyojikuta unatamani kumsaidia kwa namna moja au nyingine (ushujaa)

Na mkeo atakapojua ndipo utaelewa nini maana ya kuharibu ndoa.

Ni hayo tu.Kama nimekuelewa vibaya, usijali sisi wengine vichwa vigumu.

Sent from my SM-J260F using JamiiForums mobile app

Najua ina athar chief na wife nampenda huyu sikuwah mpenda niliuwaga naenjoy tu bado sijawaza kumsaidia au kufanya lolote nae
 
Hii ni hataree,kuna jamaa yangu nae huwa anjisifia kijiweni eti huwa hamchekei chekei mke wake yaan akifika hm ni cool tu[emoji848],

wanawake wanapenda sometimes utani,ucheshi ila kuwa cool all time not good kwakwel!

Tukirudi kwa mada,yaan hapo huyo mwanamke kammissi tu zile moment za ucheshi na kutaniana ila hajamiss MKUYENGE
 
Back
Top Bottom