Mpenzi wangu wa kwanza amerudi

Mpenzi wangu wa kwanza amerudi

Tayari ,Anaenda ongeza Namba ya ndoa zinazovunjika.


Mwanamke akiwa Mpumbavu....


Wanawake ,chepukeni lakini HESHIMUN WAUME ZENU.

Mchepuko hauwezi kukuoa HATA SIKU MOJA....maana umeshazaa, na kitendo cha kutoka ndoan, hata yeye kinampa Picha !!.




Mtoa Mada, Kumbuka miaka sita nakaa kimyaa, Leo ndo ka kutafuta....


Huwa wakishapata Ngoma, Hawapendi kuzaa tena , utasikia "Sina mpango wa kuzaa kabisa"....

Kwahiyo Uwe MAKINI.
 
Sometimes wala hata haihusiani na masuala ya kupelekeana moto, mpenzi wako ukimuhandle kama rafiki hua zinakaaga kichwani zile moments za utani, ucheshi, kujali n.k
Mazoea hua yanatesa sana asikwambie mtu.
Ebu nipe tano kwanza[emoji109]
 
Kwa hiyo huyo binti amemiss ucheshi wako, na matusi mliyokuwa mkitukanana! Mbwa wewe! Msenge wewe matako wewe! fala wewe! 🤔
Ahahahaahahaahaqh..hii kitu ulosema hapa bwanaq achana nayo kabisa.

mimi sio mdau wa matus kabisa hata kuyasikia sipendi sana ila sasa kuna mke wa mtu mmoja hiv miaka kadhaa nyuma ikatokea tumeanguka kwenye mahaba ..bwana ..bwana..bwana weee...

kuna siku Nilimgonga yule manzi kigongo heavy katikati ya game waacha aanze kumwaga matusi..

kila inapomkolea baas anaachia bonge ya tusi..

Alipokua anakaribia kibo aliyaachia matusi (ananitukana) kama dakika 5 hiv mpaka namuachia matuzi yamejaa gunia..sina hamu...ila ile dirty language unexpectedly ilikua inanipa mizuka sanaaaa 😂😂😂😂..

Baadae kumuuliza vp kulikon?...kama kawaida ya malaya "oohh unajua nimeolewa miaka 8 ila hii show sijawah cheza"...

moyon nam zoom tu 'huyu ananiona mi faaaala wa kunidanganya utoto reje reja huu'
😁😁
 
Umesoma na kuelewa kweli? Kuna sehem nimejifanya shujaa au kutaka kuharb ndoa au namshangaa huyu huku nikijiuliza yawezekana mke wangu nae yanamkuta
Mblock Kama kweli unapenda Ndoa yako na ya huyo ex WAKO...
 
Ushauri:

Fanya ujinga wote ila achana na mke wa mtu.

Utakuja nishukuru, na ukigoma pia utakuja leta mrejesho.

Mwanamke toka enzi za Farao hajawahi kuridhika, na hautakiwi kumuendekeza.

Madhara utapata wewe maana hata mungu anawachukulia ni viumbe dhaifu, so maamuzi utakayofanya wewe ndo yatakuathiri zaidi.
 
Back
Top Bottom