DALA JF-Expert Member Joined Aug 24, 2009 Posts 2,256 Reaction score 4,647 Feb 21, 2022 Thread starter #101 Hance Mtanashati said: Uongo huooo Click to expand... Fafanua
Kipangaspecial JF-Expert Member Joined Mar 30, 2020 Posts 20,778 Reaction score 28,722 Feb 21, 2022 #102 Baba Joseph17 said: Huyo X Dem wako ni muongo Fulani hivi yawezekana huko aliko hapendwi kakimbilia kuwapa kashfa aliokuwa kuwa nao, wanawake wanapenda sana kutoa kasoro Kwa wapenzi wao wa zamani Kwa akujiona wao hawana tatizo Click to expand... Hivi haya maisha rahisi ni Tanzania nzima?
Baba Joseph17 said: Huyo X Dem wako ni muongo Fulani hivi yawezekana huko aliko hapendwi kakimbilia kuwapa kashfa aliokuwa kuwa nao, wanawake wanapenda sana kutoa kasoro Kwa wapenzi wao wa zamani Kwa akujiona wao hawana tatizo Click to expand... Hivi haya maisha rahisi ni Tanzania nzima?
Kiraka JF-Expert Member Joined Feb 1, 2010 Posts 4,285 Reaction score 4,074 Feb 21, 2022 #103 DALA said: Tatizo kama nilivyosema eti anataka niwatimue watangizi wake nimchukue yeye. Nimemtolea nje mazima maana kanikwaza. Yeye ndo mwenye shida alafu anajifanya kunipa masharti ya kijinga Click to expand... Mbinafsi halafu anaonekana hakupendi huyo, sema amekwama tu....
DALA said: Tatizo kama nilivyosema eti anataka niwatimue watangizi wake nimchukue yeye. Nimemtolea nje mazima maana kanikwaza. Yeye ndo mwenye shida alafu anajifanya kunipa masharti ya kijinga Click to expand... Mbinafsi halafu anaonekana hakupendi huyo, sema amekwama tu....
Lovelovie JF-Expert Member Joined Oct 2, 2021 Posts 12,582 Reaction score 26,053 Feb 22, 2022 #104 DALA said: I will Click to expand... Okay Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app